Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wetu wa Chama ameshika hatamu, Fomu ya kuomba uteuzi kugombea Urais ni moja tu!

Hivi Trump aligombea na nani mwaka huu 2020 kabla ya kupitishwa na Republic kugombea Urais Nov 2020?

Obama wakati anatetea urais wake 2012 alipambana na nani ndani ya Democratic?

Bush wakati anatetea urais wake 2004 alipambana na nani ndani ya Republican?
Sio kweli kwamba Trump hakuwa na wapinzani kwenye mchakato wa kupata mgombea kwa chama cha republican.Fuatilia vizuri utajua Trump mwaka huu alishindana na nani?kwa ufahamu wangu kwenye nominations za republican Trump alikuwa na wapinzani kama watatu hivi lakini hawakuwa na nguvu sana,Alikuwepo Wiliam Feld,Joel Walsh na Mark Sanford
 
Hivi Trump aligombea na nani mwaka huu 2020 kabla ya kupitishwa na Republic kugombea Urais Nov 2020?

Obama wakati anatetea urais wake 2012 alipambana na nani ndani ya Democratic?

Bush wakati anatetea urais wake 2004 alipambana na nani ndani ya Republican?
Kuwa msukule ni adhabu. Hufuatili hata vyombo vya habari!!? Wewe ni kulishwa tu pumba ndio ujuavyo!?
 
Hivi Trump aligombea na nani mwaka huu 2020 kabla ya kupitishwa na Republic kugombea Urais Nov 2020?

Obama wakati anatetea urais wake 2012 alipambana na nani ndani ya Democratic?

Bush wakati anatetea urais wake 2004 alipambana na nani ndani ya Republican?

Una point ya maana ya kuzungumza lakini sijui uongo unakusaidia nini. RNC au DNC ndio hupitisha mgombea. Trump hajapitishwa bado, hata Biden pia na ni kwa sbb conventions hazijafanyika! Mchakato unakamilika kwenye hizo conventions!!
 
Hahahhaha... Kwanini chadema mnamuogopa sana Magufuli?

Yani mngekuwa na uwezo mngewawekea ccm mgombea wenu ila ndio hivyo hamna jinsi na mkizubaa ccm inawaletea Membe huko
 
Hivi Trump aligombea na nani mwaka huu 2020 kabla ya kupitishwa na Republic kugombea Urais Nov 2020?

Obama wakati anatetea urais wake 2012 alipambana na nani ndani ya Democratic?

Bush wakati anatetea urais wake 2004 alipambana na nani ndani ya Republican?
Akili za Maiti hizi
 
CCM CHAMA CHA MAZEZETA kuna Nduliest Nduli...... Nani Kama yeye?
Polisi yeye
Hakimu yeye
Bwana jela yeye
Mnyongaji yeye
Mzikaji yeye
Pasta yeye....
Jidai unachukua fomu uone cha mtemakuni. Tayari ana jeshi la wachawi 1000 kutoka Gamboshi tayari kumuua yoyote atakayechukua fomu
Sasa wewe mzee, kwani katiba ya chama chetu mama (ccm) inasemaje? tuanzie hapo kwanza kwa kiongozi ambaye tayari ni ameshashika awamu ya kwanza.
 
Hivi Trump aligombea na nani mwaka huu 2020 kabla ya kupitishwa na Republic kugombea Urais Nov 2020?

Obama wakati anatetea urais wake 2012 alipambana na nani ndani ya Democratic?

Bush wakati anatetea urais wake 2004 alipambana na nani ndani ya Republican?
Unatolea mfano kwa mabeberu!
Mnawainga eeh!
Mbona mnasema hawafai?
 
Hivi Trump aligombea na nani mwaka huu 2020 kabla ya kupitishwa na Republic kugombea Urais Nov 2020?

Obama wakati anatetea urais wake 2012 alipambana na nani ndani ya Democratic?

Bush wakati anatetea urais wake 2004 alipambana na nani ndani ya Republican?
Tafiti kabla ya kuanza kuropoka.

Kuna tofauti kubwa kati ya kuwapa watu haki na wakaacha kuitumia na kuwanyima kabisa.

Hao wote unawaotolea mfano hawakukataza watu wengine wasigombee, ni watu wenyewe waliona hamna haja maana hawatashinda hata wakiamua.

By the way Trump aligombea na watu kadhaa

1591605683771.png
 
Bill Weld, Joe Walsh na Roque de la Fuente walijitokeza kwenye Republican Primaries mwaka huu. Keith Russel Judd, mfungwa alipata 41% ya kura dhidi ya Obama katika Primaries za West Virginia za mwaka 2012. John Wolfe Jr na wengine nao walijitokeza kupambana na Obama mwaka huo huo. Blake Ashby alipambanana George W Bush. Mwaka 1984, Harold Stassen alishindana na Ronald Reagan. Ingawa wote hawa walikuwa na uwezekano mdogo wa kushinda lakini walijitokeza na kushindana.

Amandla.....
Huyu ni mbulula tu, hafanyi research hata ndogo tu kuona kama anaongea upumbavu
 
Hivi Trump aligombea na nani mwaka huu 2020 kabla ya kupitishwa na Republic kugombea Urais Nov 2020?

Obama wakati anatetea urais wake 2012 alipambana na nani ndani ya Democratic?

Bush wakati anatetea urais wake 2004 alipambana na nani ndani ya Republican?
Tusiwaige mabeberu Mkuu, mabeberu si tuwaachie chadema, au unasemaje?
 
Hivi Trump aligombea na nani mwaka huu 2020 kabla ya kupitishwa na Republic kugombea Urais Nov 2020?

Obama wakati anatetea urais wake 2012 alipambana na nani ndani ya Democratic?

Bush wakati anatetea urais wake 2004 alipambana na nani ndani ya Republican?
Manyumbu hao, wapo mbugani wanatangatanga
 
Nilitegemea Jaji Msajili ndg Mutungi ajitokeze kukifata Ccm kwa kuminya Uhuru na democrasia kinyume na katiba yao
 
Back
Top Bottom