Mwenyekiti yupo Mahabusu, Makamu Mwenyekiti anaugulia risasi 16, viongozi wakaunga juhudi mkono lakini bado chama kipo imara. MUNGU ana makusudi

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Chama cha CUF kimekufa bila mwenyekiti wala kiongozi wao kunyanyaswa waziwazi, walishughulika na matumbo ya viongoz chama kikafa.

NCCR ilisambaratishwa bila viongozi kupitia magumu ya Chadema.

ACT inajijenga kwa kujimomonyoa kwasababu Toka mwanzo ilianzishwa kupambana na Chama alichotoka mwasisi wake na siyo kupambana mfumo kwa lengo la kushika dola.

Chadema imepoteza makatibu wakuu wawili Hawa ndio walikuwa waandaaji wa kila kitu kwenye chama wote leo wapo CCM. Tuliamini wakienda huko wataenda na Siri za chama kumbe chama hakina Siri kubwa zaidi ya kusimama na wananchi. Hii NDIYO Siri pekee ya Chadema na inaimarika kwasababu pamoja na kuwa na Watu wenye njaa Lakini wapo wachache wasiojali ukubwa wa njaa.

Leo hii kutokana na ukubwa wa Chadema wapo watu waliamini Chadema ni lisu wakaangaika naye lakini akiwa kitandani na nje ya Nchi chama kiliendelea.

Wapo walioamini chadema ni Mbowe, wakamweka ndani mwaka sasa lakini chadema Bado kipo imara. Maana yake ni kwamba ; lipo tatizo la watafiti nchini.

Ninachokiona Mimi ni kwamba, mfumo umekichoka Chama tawala hivyo umewekeza kuitengeneza Chadema iwe imara Ili watu waliopo Chadema watakapopewa madaraka na kukabidhiwa Nchi basi Nchi isonge. Tumeona mfumo ulivyomtumia JPM kutafuta watu wenye akili kutoka Chadema na kuwapa teuzi, tumeona mfumo ulivyopeleka wamama wenye akili 19 Bungeni wakalisaidie taifa baada ya kuona hakuna mbunge wakutoa hoja aliyepelekwa Bungeni na CCM, tuone mfumo ulivyowanunua akina badhiru wakairarue CCM nk

Nasema hivi Kwa sababu ni dhairi kwamba watu wanaofikiri sawasawa nchini wapo Chadema na ukitaka upate watu wa kukusaidia lazima ukawanue Chadema uwakumbatie huku ukujua kabisa kwamba moyoni mwao ni wanachadema na si wana CCM.

Naamini kabisa kwamba CCM wanajua akina halima ni wahanga waliotetea uhai wao baada ya kuona madhila waliyopata wapinzani webgine. Tuliona walivyofikishwa kwenda kuapa na eneo walipokaa wakaapa utabaini kabisa walikuwa mateka. Hakuna anayejua walipewa madharti Gani wakati wanatekwa na kupelekwa kwa Ndugai. Waliapishwa sehemu ambayo haijawahi kutumika kuapisha wabunge katika uhai wa nchi hii. Lakini pia kati yao akaapishwa hata aliyetolewa mahabusu you can imagine walikuwa wana Hali gani na walikuwa ni watu muhimu kiasi gani katika kulitetea bunge lisipitishe mambo ya hovyo. Let assume mfumo umetumia plan B kutafuta viongozi nje ya plan A ambayo imefeli.

Tukumbuke mfumo Siku zote unakuaga na wivu uliojichimbia chini ambao nivigumu kuonekana kwa macho. Tukumbuke mfumo una watu wa kila kariba. Unaweza ukadhani unaongozi kumbe unaongozwa. Unajiweka busy kupngoza watu wanakaa busy kukuongoza
 
Chama cha CuF kimekufa bila mwenyekiti Wala kiongozi wao kunyanyaswa waziwazi, walishughulika na matumbo ya viongoz chama kikafa.

NCCR ilisambaratishwa bila viongozi kupitia magumu ya Chadema...
Hapo kwa COVID, Bado hata sitakuelewa, japo wazo lakuwa ni mateka na weza liwazia, ila kama wamehiari kuwa mateka hapo sawa🤔
 
Kuna kitu kipo nyuma ya pazia huwezi kukijua mpaka usiwe Chadema, wala CCM. Uwende kwenye vyama vingine ambavyo vikongwee kama cup, NCCR ndio utajua
 
Covid 19 waliapishwa uwanjani mbele ya bwawa na water fountain [emoji1787]

Still wanaitwa wabunge na chama wanachodai kukiwakilisha hakijawachagua [emoji2]

Moja vituko vya karne katika nchii hii hap covid 19 na wanaowatetea ni vituko zaidi
 
Chama cha CUF kimekufa bila mwenyekiti wala kiongozi wao kunyanyaswa waziwazi, walishughulika na matumbo ya viongoz chama kikafa.

NCCR ilisambaratishwa bila viongozi kupitia magumu ya Chadema.

ACT inajijenga kwa kujimomonyoa kwasababu Toka mwanzo ilianzishwa kupambana na Chama alichotoka mwasisi wake na siyo kupambana mfumo kwa lengo la kushika dola.

Chadema imepoteza makatibu wakuu wawili Hawa ndio walikuwa waandaaji wa kila kitu kwenye chama wote leo wapo CCM. Tuliamini wakienda huko wataenda na Siri za chama kumbe chama hakina Siri kubwa zaidi ya kusimama na wananchi. Hii NDIYO Siri pekee ya Chadema na inaimarika kwasababu pamoja na kuwa na Watu wenye njaa Lakini wapo wachache wasiojali ukubwa wa njaa.

Leo hii kutokana na ukubwa wa Chadema wapo watu waliamini Chadema ni lisu wakaangaika naye lakini akiwa kitandani na nje ya Nchi chama kiliendelea.

Wapo walioamini chadema ni Mbowe, wakamweka ndani mwaka sasa lakini chadema Bado kipo imara. Maana yake ni kwamba ; lipo tatizo la watafiti nchini.

Ninachokiona Mimi ni kwamba, mfumo umekichoka Chama tawala hivyo umewekeza kuitengeneza Chadema iwe imara Ili watu waliopo Chadema watakapopewa madaraka na kukabidhiwa Nchi basi Nchi isonge. Tumeona mfumo ulivyomtumia JPM kutafuta watu wenye akili kutoka Chadema na kuwapa teuzi, tumeona mfumo ulivyopeleka wamama wenye akili 19 Bungeni wakalisaidie taifa baada ya kuona hakuna mbunge wakutoa hoja aliyepelekwa Bungeni na CCM, tuone mfumo ulivyowanunua akina badhiru wakairarue CCM nk

Nasema hivi Kwa sababu ni dhairi kwamba watu wanaofikiri sawasawa nchini wapo Chadema na ukitaka upate watu wa kukusaidia lazima ukawanue Chadema uwakumbatie huku ukujua kabisa kwamba moyoni mwao ni wanachadema na si wana CCM.

Naamini kabisa kwamba CCM wanajua akina halima ni wahanga waliotetea uhai wao baada ya kuona madhila waliyopata wapinzani webgine. Tuliona walivyofikishwa kwenda kuapa na eneo walipokaa wakaapa utabaini kabisa walikuwa mateka. Hakuna anayejua walipewa madharti Gani wakati wanatekwa na kupelekwa kwa Ndugai. Waliapishwa sehemu ambayo haijawahi kutumika kuapisha wabunge katika uhai wa nchi hii. Lakini pia kati yao akaapishwa hata aliyetolewa mahabusu you can imagine walikuwa wana Hali gani na walikuwa ni watu muhimu kiasi gani katika kulitetea bunge lisipitishe mambo ya hovyo. Let assume mfumo umetumia plan B kutafuta viongozi nje ya plan A ambayo imefeli.

Tukumbuke mfumo Siku zote unakuaga na wivu uliojichimbia chini ambao nivigumu kuonekana kwa macho. Tukumbuke mfumo una watu wa kila kariba. Unaweza ukadhani unaongozi kumbe unaongozwa. Unajiweka busy kupngoza watu wanakaa busy kukuongoza
Pamoja na MISUKOSUKO inayoipata CHADEMA kwa VIONGOZI WAKE,WANACHAMA NA WAFUASI BADO SERIKALI IMESHINDWA KUIUA CHADEMA
MWENYEKITI KAPEWA KESI YA UGAIDI,Makamu wake Anajitibu Majeraha lakini MUNGU KASIMAMA na CHADEMA
 
Moja ya catastrophic effect Chadema imewahi kukutana nayo ni ile biasharabya kuunga mkono juhudi
It was a very blasting bom. We survived
 
Neno muhimu sana ili (Chama hakina siri kubwa zaidi ya kusimama na Wananchi) na ndo msingi mkubwa
Chadema hakiwezi kufa kwa namna yoyote ile. Wakati wa Magufuli viongozi mikoa yote walipewa kesi walitakiwa kuripoti vituo mbali mbali vya polisi angalau kila ijumaa.

Huku wengine wakiunga juhudi, kuke chaguzi za marudio huku wengine wakilundwa gerezani.

Kwa Neema ya Mungu Chama kikazidi kuimarika.
 
Chama cha CUF kimekufa bila mwenyekiti wala kiongozi wao kunyanyaswa waziwazi, walishughulika na matumbo ya viongoz chama kikafa.

NCCR ilisambaratishwa bila viongozi kupitia magumu ya Chadema.

ACT inajijenga kwa kujimomonyoa kwasababu Toka mwanzo ilianzishwa kupambana na Chama alichotoka mwasisi wake na siyo kupambana mfumo kwa lengo la kushika dola.

Chadema imepoteza makatibu wakuu wawili Hawa ndio walikuwa waandaaji wa kila kitu kwenye chama wote leo wapo CCM. Tuliamini wakienda huko wataenda na Siri za chama kumbe chama hakina Siri kubwa zaidi ya kusimama na wananchi. Hii NDIYO Siri pekee ya Chadema na inaimarika kwasababu pamoja na kuwa na Watu wenye njaa Lakini wapo wachache wasiojali ukubwa wa njaa.

Leo hii kutokana na ukubwa wa Chadema wapo watu waliamini Chadema ni lisu wakaangaika naye lakini akiwa kitandani na nje ya Nchi chama kiliendelea.

Wapo walioamini chadema ni Mbowe, wakamweka ndani mwaka sasa lakini chadema Bado kipo imara. Maana yake ni kwamba ; lipo tatizo la watafiti nchini.

Ninachokiona Mimi ni kwamba, mfumo umekichoka Chama tawala hivyo umewekeza kuitengeneza Chadema iwe imara Ili watu waliopo Chadema watakapopewa madaraka na kukabidhiwa Nchi basi Nchi isonge. Tumeona mfumo ulivyomtumia JPM kutafuta watu wenye akili kutoka Chadema na kuwapa teuzi, tumeona mfumo ulivyopeleka wamama wenye akili 19 Bungeni wakalisaidie taifa baada ya kuona hakuna mbunge wakutoa hoja aliyepelekwa Bungeni na CCM, tuone mfumo ulivyowanunua akina badhiru wakairarue CCM nk

Nasema hivi Kwa sababu ni dhairi kwamba watu wanaofikiri sawasawa nchini wapo Chadema na ukitaka upate watu wa kukusaidia lazima ukawanue Chadema uwakumbatie huku ukujua kabisa kwamba moyoni mwao ni wanachadema na si wana CCM.

Naamini kabisa kwamba CCM wanajua akina halima ni wahanga waliotetea uhai wao baada ya kuona madhila waliyopata wapinzani webgine. Tuliona walivyofikishwa kwenda kuapa na eneo walipokaa wakaapa utabaini kabisa walikuwa mateka. Hakuna anayejua walipewa madharti Gani wakati wanatekwa na kupelekwa kwa Ndugai. Waliapishwa sehemu ambayo haijawahi kutumika kuapisha wabunge katika uhai wa nchi hii. Lakini pia kati yao akaapishwa hata aliyetolewa mahabusu you can imagine walikuwa wana Hali gani na walikuwa ni watu muhimu kiasi gani katika kulitetea bunge lisipitishe mambo ya hovyo. Let assume mfumo umetumia plan B kutafuta viongozi nje ya plan A ambayo imefeli.

Tukumbuke mfumo Siku zote unakuaga na wivu uliojichimbia chini ambao nivigumu kuonekana kwa macho. Tukumbuke mfumo una watu wa kila kariba. Unaweza ukadhani unaongozi kumbe unaongozwa. Unajiweka busy kupngoza watu wanakaa busy kukuongoza
Hivi nani aliyekudanganya chadema kipo?
Wale wabunge 19 wameidhinishwa na mbowe,hivi unajua kuwa mfano ester matiko ni mzazi mwenzie na salum mwalimu,unadhani salum mwalimu atakubali mkewe afukuzwe bungeni,watoto wakose maisha?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom