Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha, wachezaji wa kitanzania bana hy ndio bei yake, anastahili bei hy ?Hawataki aende Yanga... hata Simba kwa ela hiyo hawapewi watasubiri sana
Siku hakuna cha heshima lakini hata hivyo bado hajafika thamani hiyo. Kama vipi aende zake Mikia.Kitendo tu cha kuchezea timu ya Wananchi ni heshima kubwa! Dogo anatakiwa atafakari mara mbili mbili hiyo ofa. Tunamkaribisha sana ili akiongezee nguvu kikosi chetu pale nyuma.
Wamchukue kwa hizo 100M?ndiyo hivi hivi tunavyo ingia cha kike, alafu baadaye tunashikana uchawi, benchi la ufundi yanga mungu anaowaona!
Yaani mpaka leo najiuliza nani alitoa wazo la kimsajili yule boyaYanga tuna mihemko yule Ally Ally nani alimsajili...
Ana mapenzi makubwa na yanga au mmesahau alivyokuwa anapa pointi akiwa stand na kmcYanga tuna mihemko yule Ally Ally nani alimsajili...
Yondani huyu huyu mtoa assist golini kwake?Siku hakuna cha heshima lakini hata hivyo bado hajafika thamani hiyo. Kama vipi aende zake Mikia.
Akiwa Yanga atakuwa understudy wa Yondani. Baada ya mwaka, thamani yake inaweza kuongezeka.
Wewe ulimtaka yupi?Yondani huyu huyu mtoa assist golini kwake?
Yeah,Yondani huyu huyu mtoa assist golini kwake?
Wanadaiwa shilingi ngapi?Yanga madeni yanawaandama afu bado mnang,ang,ania kununua wachezaji msio na uwezo nao.