kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Labda kama hao mikia atawapunguzia bei. Ila kwa m100 hata wao hawatoi!Siku hakuna cha heshima lakini hata hivyo bado hajafika thamani hiyo. Kama vipi aende zake Mikia.
Akiwa Yanga atakuwa understudy wa Yondani. Baada ya mwaka, thamani yake inaweza kuongezeka.
Sent using Jamii Forums mobile app