Mwenyeto amekataa ofa ya Yanga

Mwenyeto amekataa ofa ya Yanga

Hawezi kumfikia Mwamnyeto kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwa sababu kapewa nafasi, tena sababu ya kocha Juma Mgunda.
Kuwa Coastal Union na timu ya Taifa.

Sasa wapo wengi wenye uwezo tatizo scouting ya ukweli na haki haipo. Mpaka mtu wako apate nafasi akubebe.

Mtizame Ditram, kapata nafasi national team, sababu ya kocha Matola, Yanga wakaona anastahili ku
Azam wakatoa ofa ya ukweli, kulingana na thamani halisi ya mchezaji . Siyo mambo ya kujikweza .
 
Kipimo kizuri kwenye champion ligi sio kwamba ni mbaya ila bado anahitaji uzoefu na kuondoa makosa madogo madogo
Kwa wachezaji waliopo kwa sasa kwenye ligi hakuna anayemfikia quality Mwamnyeto.

Composure ni kubwa sana
Ball control na balance anayo yakutosha.
Physicality uwanjani anaweza kuzidiwa na Kennedy Juma tu.

Anticipation na reaction yake uwanjani ni nzuri sana ukilinganisha na mabeki wengine.

Mechi ya Uganda vs Taifa Stars pale Nambole Uganda alifanya poa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwa sababu kapewa nafasi, tena sababu ya kocha Juma Mgunda.
Kuwa Coastal Union na timu ya Taifa.

Sasa wapo wengi wenye uwezo tatizo scouting ya ukweli na haki haipo. Mpaka mtu wako apate nafasi akubebe.

Mtizame Ditram, kapata nafasi national team, sababu ya kocha Matola, Yanga wakaona anastahili ku
Azam wakatoa ofa ya ukweli, kulingana na thamani halisi ya mchezaji . Siyo mambo ya kujikweza .
Huwajui wachezaji wa kitanzania wewe huwa wanaviwango vya kupanda na kushuka hivyo hivyo.

After all kwa sisi wafuatiliaji wa mpira tulikuwa tunamfahamu Nchimbi toka akiwa Tanzania Prisons baadae Njombe Mji na Azam Fc hivyo kiwango chake kilikuwa kinafahamika.

Hata Yanga walimsajili baada ya kuwafunga goli tatu na Yanga wakiwa hawana striker upgrade yake tu hivi angekuwepo Makambo ungeweza kumhitaji huyo Nchimbi ,?

Anyway ni kawaida ya watu wa soka kujiona yy anajua zaidi kuliko mtu mwingine yy ni mfuatiliaji zaidi kuliko shabiki mwingine.

Bro hatuishi pamoja, hatujuani nani mfuatiliaji zaidi nani hajui, hayo tuyaache .

Dunia nzima viwango vya wachezaji kupanda na kushuka ndiyo tabia ya soka. Ndo maana kuna wachezaji wengiii lkn wanaotumika kwenye vilabu kila wakati ni wachache wengine wanakuwa ingia toka halafu anapotea mechi kadhaa.

Nchimbi ni mshambuliaji chipukizi anayejengeka si kweli kwamba kapewa nafasi Yanga sababu ya kuwafunga.

Nakubali yanga ilikuwa inahaha kutafuta mshambuliaji na ndo maana kama utakumbuka ilijaribu kumsajili mpaka SALAMBA toka LIPULI siku za nyuma kidogo sababu ndiye aliyekuwa HOT kiasi mpaka Simba ikamsajili.

Nchimbi ndiye mshambuliaji aliyekuwa HOT wakati Yanga ikiwa inahaha kutafuta mshambuliaji huku Nchimbi akiwa ameng'aa timu ya Taifa kwa kupewa nafasi na kocha MATOLA.

NCHIMBI kaonekana na wengi kuwa anakitu kinachoweza kuisaidia timu, ndo maana kapita huko kote, Matola baada ya kuichukua PT akamuongeza DITRAM na kumpa majukumu.

Matola baada ya kuingia national team akashauri na kumuongeza DITRAM na kumpa majukumu na kuyatekeleza vyema.

Luc & Boniface wamempa majukumu katika mechi ngumu na kayatekeleza vyema lkn bado anazidi kukomaa.

Angekuwepo Makambo , ungeweza kumuhitaji huyo Nchimbi? Kwangu hili swali jibu lake ni jepesi sana NDIYO.
 
Ulianza vizuri ila umeharibu mwishoni Nchimbi amepata umaarufu baada ya kuwafunga yanga goli tatu, Nchimbi sio chipukizi anayechipukia kwani amekuwepo ligi kuu zaid ya misimu mitatu
 
Nashukuru kwa marekebisho yako! Baada ya kuwafunga Yanga bado akawa na muendelezo wa kuwafunga SUDAN. tukasonga mbele na kuingia fainali za CHAN.

Yupo ligi kuu kitambo lkn kipindi hiki ndo nyota yake imeng'ara na kuonesha ukomavu. Baada ya kupewa nafasi national team na Yanga maeneo yenye Pressure kubwa toka kwa mashabiki.

HD huyu alikuwa mchezaji tegemeo Ruvu shooting, lkn alipokwenda Yanga alipwaya mkataba ulipoisha akaenda Mtibwa ambako alikomazwa na sasa anaupiga mwingi Msimbazi.
 
Anyway ni kawaida ya watu wa soka kujiona yy anajua zaidi kuliko mtu mwingine yy ni mfuatiliaji zaidi kuliko shabiki mwingine.

Bro hatuishi pamoja, hatujuani nani mfuatiliaji zaidi nani hajui, hayo tuyaache .

Dunia nzima viwango vya wachezaji kupanda na kushuka ndiyo tabia ya soka. Ndo maana kuna wachezaji wengiii lkn wanaotumika kwenye vilabu kila wakati ni wachache wengine wanakuwa ingia toka halafu anapotea mechi kadhaa.

Nchimbi ni mshambuliaji chipukizi anayejengeka si kweli kwamba kapewa nafasi Yanga sababu ya kuwafunga.

Nakubali yanga ilikuwa inahaha kutafuta mshambuliaji na ndo maana kama utakumbuka ilijaribu kumsajili mpaka SALAMBA toka LIPULI siku za nyuma kidogo sababu ndiye aliyekuwa HOT kiasi mpaka Simba ikamsajili.

Nchimbi ndiye mshambuliaji aliyekuwa HOT wakati Yanga ikiwa inahaha kutafuta mshambuliaji huku Nchimbi akiwa ameng'aa timu ya Taifa kwa kupewa nafasi na kocha MATOLA.

NCHIMBI kaonekana na wengi kuwa anakitu kinachoweza kuisaidia timu, ndo maana kapita huko kote, Matola baada ya kuichukua PT akamuongeza DITRAM na kumpa majukumu.

Matola baada ya kuingia national team akashauri na kumuongeza DITRAM na kumpa majukumu na kuyatekeleza vyema.

Luc & Boniface wamempa majukumu katika mechi ngumu na kayatekeleza vyema lkn bado anazidi kukomaa.

Angekuwepo Makambo , ungeweza kumuhitaji huyo Nchimbi? Kwangu hili swali jibu lake ni jepesi sana NDIYO.
Nchimbi ni mchezaji muhimu mno japo wengi ni kama hawaoni hilo. Ni mchezaji anaweza kukupa kocha uwanja mpana sana kwenye maamuzi yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchimbi ni mchezaji muhimu mno japo wengi ni kama hawaoni hilo. Ni mchezaji anaweza kukupa kocha uwanja mpana sana kwenye maamuzi yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi, anachopaswa kuendelea nacho ni kujituma zaidi na zaidi kwa sababu Ditram si mchezaji anayetegemea kipaji.

Akijitahidi kujituma zaidi na zaidi atakuwa tegemeo kubwa katika ushambuliaji kwa Yanga na national team.

Binafsi sina shaka naye. Kaonesha timu ya taifa, kaonesha Yanga.
 
Back
Top Bottom