Mwenyeto amekataa ofa ya Yanga

Mwenyeto amekataa ofa ya Yanga

Huyu Mwamnyeto asipoangalia akienda simba kipaji ndio kwa kwaher amwulize Mlipili pale Yanga pana nafasi ya kucheza simba anasajili ili kuwalundika tu na sio kuwatumia halafu m100 kwa mpira upi asipoangalia atakosa vyote
 
Sahihi, anachopaswa kuendelea nacho ni kujituma zaidi na zaidi kwa sababu Ditram si mchezaji anayetegemea kipaji.

Akijitahidi kujituma zaidi na zaidi atakuwa tegemeo kubwa katika ushambuliaji kwa Yanga na national team.

Binafsi sina shaka naye. Kaonesha timu ya taifa, kaonesha Yanga.
Sahihi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Mwamnyeto asipoangalia akienda simba kipaji ndio kwa kwaher amwulize Mlipili pale Yanga pana nafasi ya kucheza simba anasajili ili kuwalundika tu na sio kuwatumia halafu m100 kwa mpira upi asipoangalia atakosa vyote
Kwa 100 ninaamini ataendelea kusalia Coastal, hata simba hawawezi mnunua kwa hyo hela. Hata 80 hamna timu itatoa, labda kama anawakazia yanga ili aende simba kwa bei chee kwa mapenzi yake binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha kaka nakwambia yule mchezaji akiwa kwenye timu ilokamilika ktk idara nyingi anaweza kuwaka sana. Anapambana sana na akipata timu ilosukwa vema hata akiwekwa namba tisa akaaminiwa anaweza Fanya maajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye timu iliyokamilika hawezi kupata nafasi.

Ni mzuri kwenye timu inayocheza kwa pressing na kushambulia kwa kushitukiza kwa sababu ni msumbufu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si mlikuwa mnamlipa fadhila za kuwafungia magoli ?

Sent using Jamii Forums mobile app
tapatalk_1590221808203.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom