Mwenyeto amekataa ofa ya Yanga

Siku hakuna cha heshima lakini hata hivyo bado hajafika thamani hiyo. Kama vipi aende zake Mikia.
Akiwa Yanga atakuwa understudy wa Yondani. Baada ya mwaka, thamani yake inaweza kuongezeka.
Labda kama hao mikia atawapunguzia bei. Ila kwa m100 hata wao hawatoi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tumeharibiwa na magazeti mwamnyeto ni mchezaji wa kawaida ila kutokana na uhaba wa vipaji ndio anaonekana wa maana kwa pesa hizo unapata beki wawili au watatu wa maana hata Kapombe ambaye kamwacha kwa mbali kwa ubora hajapewa pesa anayodai mwamnyeto anadanganywa kwenda nje atapoteza miaka miwili kufundishwa soka ya kisasa labda aende vinchi uchwara
 
Kiuhalisia siyo mchezaji wa kiwango hicho cha fedha. Wako wengi mno wa kiwango chake.

Wasimbanie haya ndo yaliyomuangamiza CHANONGO alipotakiwa na Yanga watu wanaweka fedha kibao. Matokeo yake dogo njia imeziba yupo Mtibwa.

Heko baba Msuva, kwa kuridhia dogo akipige Yanga kwa usajili wa pesa kidogo lengo likiwa apate nafasi ya kukuza kipaji chake.
 
Anyway kwenye ligi yetu ukiondoa wale mabeki wakongwe beki gani anayemfikia kiwango Mwamnyeto ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitajie mchezaji mmoja mwenye kiwango chake kwenye ligi yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…