lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
Ni kwa sababu kapewa nafasi, tena sababu ya kocha Juma Mgunda.
Msajilini ninyi kwa hyo 100 basi kama mnamkubali na mna hela hiyo!bora kusajiliwa Simba bure kuliko Yanga kwa 100m. lazima uangalie msakabali wa mshahara wake
Hayupo ila haina shida msajilini ninyi Simba kwa hiyo 100!Anyway kwenye ligi yetu ukiondoa wale mabeki wakongwe beki gani anayemfikia kiwango Mwamnyeto ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wachezaji waliopo kwa sasa kwenye ligi hakuna anayemfikia quality Mwamnyeto.Kipimo kizuri kwenye champion ligi sio kwamba ni mbaya ila bado anahitaji uzoefu na kuondoa makosa madogo madogo
Tutamsajili nyinyi hamna hela ya kumsajili huyo dogo, hawezi kuja kushindia mikate na mahindi ya kuchoma kama mtoto wa panya
Tutamsajili nyinyi hamna hela ya kumsajili huyo dogo, hawezi kuja kushindia mikate na mahindi ya kuchoma kama mtoto wa panya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakna mchezaji hapoooCoastal union na Mwanmyeto wamakataa offer waliyopewa na Yanga ili kumpata mchezaji huyo.
Wamesema bila mil 100 hatoki.Yanga wamesema mil 100 ni ngumu ila bado wanajitahidi kukaa chini.
Watani nendeni benki msiogope
Huwajui wachezaji wa kitanzania wewe huwa wanaviwango vya kupanda na kushuka hivyo hivyo.Ni kwa sababu kapewa nafasi, tena sababu ya kocha Juma Mgunda.
Kuwa Coastal Union na timu ya Taifa.
Sasa wapo wengi wenye uwezo tatizo scouting ya ukweli na haki haipo. Mpaka mtu wako apate nafasi akubebe.
Mtizame Ditram, kapata nafasi national team, sababu ya kocha Matola, Yanga wakaona anastahili ku
Azam wakatoa ofa ya ukweli, kulingana na thamani halisi ya mchezaji . Siyo mambo ya kujikweza .
Yule ni beki mzuri sana hasa akipata kocha mzuri na beki mwenye experience nzuri
kipindi kile anamfunga kaseja mkashangilia leo kawa boya tenaYaani mpaka leo najiuliza nani alitoa wazo la kimsajili yule boya
Sent using Jamii Forums mobile app
Anyway ni kawaida ya watu wa soka kujiona yy anajua zaidi kuliko mtu mwingine yy ni mfuatiliaji zaidi kuliko shabiki mwingine.Huwajui wachezaji wa kitanzania wewe huwa wanaviwango vya kupanda na kushuka hivyo hivyo.
After all kwa sisi wafuatiliaji wa mpira tulikuwa tunamfahamu Nchimbi toka akiwa Tanzania Prisons baadae Njombe Mji na Azam Fc hivyo kiwango chake kilikuwa kinafahamika.
Hata Yanga walimsajili baada ya kuwafunga goli tatu na Yanga wakiwa hawana striker upgrade yake tu hivi angekuwepo Makambo ungeweza kumhitaji huyo Nchimbi ,?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulianza vizuri ila umeharibu mwishoni Nchimbi amepata umaarufu baada ya kuwafunga yanga goli tatu, Nchimbi sio chipukizi anayechipukia kwani amekuwepo ligi kuu zaid ya misimu mitatuAnyway ni kawaida ya watu wa soka kujiona yy anajua zaidi kuliko mtu mwingine yy ni mfuatiliaji zaidi kuliko shabiki mwingine.
Bro hatuishi pamoja, hatujuani nani mfuatiliaji zaidi nani hajui, hayo tuyaache .
Dunia nzima viwango vya wachezaji kupanda na kushuka ndiyo tabia ya soka. Ndo maana kuna wachezaji wengiii lkn wanaotumika kwenye vilabu kila wakati ni wachache wengine wanakuwa ingia toka halafu anapotea mechi kadhaa.
Nchimbi ni mshambuliaji chipukizi anayejengeka si kweli kwamba kapewa nafasi Yanga sababu ya kuwafunga.
Nakubali yanga ilikuwa inahaha kutafuta mshambuliaji na ndo maana kama utakumbuka ilijaribu kumsajili mpaka SALAMBA toka LIPULI siku za nyuma kidogo sababu ndiye aliyekuwa HOT kiasi mpaka Simba ikamsajili.
Nchimbi ndiye mshambuliaji aliyekuwa HOT wakati Yanga ikiwa inahaha kutafuta mshambuliaji huku Nchimbi akiwa ameng'aa timu ya Taifa kwa kupewa nafasi na kocha MATOLA.
NCHIMBI kaonekana na wengi kuwa anakitu kinachoweza kuisaidia timu, ndo maana kapita huko kote, Matola baada ya kuichukua PT akamuongeza DITRAM na kumpa majukumu.
Matola baada ya kuingia national team akashauri na kumuongeza DITRAM na kumpa majukumu na kuyatekeleza vyema.
Luc & Boniface wamempa majukumu katika mechi ngumu na kayatekeleza vyema lkn bado anazidi kukomaa.
Angekuwepo Makambo , ungeweza kumuhitaji huyo Nchimbi? Kwangu hili swali jibu lake ni jepesi sana NDIYO.
Nashukuru kwa marekebisho yako! Baada ya kuwafunga Yanga bado akawa na muendelezo wa kuwafunga SUDAN. tukasonga mbele na kuingia fainali za CHAN.Ulianza vizuri ila umeharibu mwishoni Nchimbi amepata umaarufu baada ya kuwafunga yanga goli tatu, Nchimbi sio chipukizi anayechipukia kwani amekuwepo ligi kuu zaid ya misimu mitatu
Siyo mitatu tu kacheza zaidi ya timu tatu za ligi kuu.Ulianza vizuri ila umeharibu mwishoni Nchimbi amepata umaarufu baada ya kuwafunga yanga goli tatu, Nchimbi sio chipukizi anayechipukia kwani amekuwepo ligi kuu zaid ya misimu mitatu
Nchimbi ni mchezaji muhimu mno japo wengi ni kama hawaoni hilo. Ni mchezaji anaweza kukupa kocha uwanja mpana sana kwenye maamuzi yakoAnyway ni kawaida ya watu wa soka kujiona yy anajua zaidi kuliko mtu mwingine yy ni mfuatiliaji zaidi kuliko shabiki mwingine.
Bro hatuishi pamoja, hatujuani nani mfuatiliaji zaidi nani hajui, hayo tuyaache .
Dunia nzima viwango vya wachezaji kupanda na kushuka ndiyo tabia ya soka. Ndo maana kuna wachezaji wengiii lkn wanaotumika kwenye vilabu kila wakati ni wachache wengine wanakuwa ingia toka halafu anapotea mechi kadhaa.
Nchimbi ni mshambuliaji chipukizi anayejengeka si kweli kwamba kapewa nafasi Yanga sababu ya kuwafunga.
Nakubali yanga ilikuwa inahaha kutafuta mshambuliaji na ndo maana kama utakumbuka ilijaribu kumsajili mpaka SALAMBA toka LIPULI siku za nyuma kidogo sababu ndiye aliyekuwa HOT kiasi mpaka Simba ikamsajili.
Nchimbi ndiye mshambuliaji aliyekuwa HOT wakati Yanga ikiwa inahaha kutafuta mshambuliaji huku Nchimbi akiwa ameng'aa timu ya Taifa kwa kupewa nafasi na kocha MATOLA.
NCHIMBI kaonekana na wengi kuwa anakitu kinachoweza kuisaidia timu, ndo maana kapita huko kote, Matola baada ya kuichukua PT akamuongeza DITRAM na kumpa majukumu.
Matola baada ya kuingia national team akashauri na kumuongeza DITRAM na kumpa majukumu na kuyatekeleza vyema.
Luc & Boniface wamempa majukumu katika mechi ngumu na kayatekeleza vyema lkn bado anazidi kukomaa.
Angekuwepo Makambo , ungeweza kumuhitaji huyo Nchimbi? Kwangu hili swali jibu lake ni jepesi sana NDIYO.
Unamkuza sana lakini siyo mchezaji wa kiwango hicho.Nchimbi ni mchezaji muhimu mno japo wengi ni kama hawaoni hilo. Ni mchezaji anaweza kukupa kocha uwanja mpana sana kwenye maamuzi yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi, anachopaswa kuendelea nacho ni kujituma zaidi na zaidi kwa sababu Ditram si mchezaji anayetegemea kipaji.Nchimbi ni mchezaji muhimu mno japo wengi ni kama hawaoni hilo. Ni mchezaji anaweza kukupa kocha uwanja mpana sana kwenye maamuzi yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwamnyeto hawezi kuzidi 45m ni uongo,acha abaki huko huko TangaWamchukue kwa hizo 100M?