Jjmwaipopo
Senior Member
- Jan 11, 2020
- 189
- 122
Ha ha ha kaka nakwambia yule mchezaji akiwa kwenye timu ilokamilika ktk idara nyingi anaweza kuwaka sana. Anapambana sana na akipata timu ilosukwa vema hata akiwekwa namba tisa akaaminiwa anaweza Fanya maajabu.
Sahihi!Sahihi, anachopaswa kuendelea nacho ni kujituma zaidi na zaidi kwa sababu Ditram si mchezaji anayetegemea kipaji.
Akijitahidi kujituma zaidi na zaidi atakuwa tegemeo kubwa katika ushambuliaji kwa Yanga na national team.
Binafsi sina shaka naye. Kaonesha timu ya taifa, kaonesha Yanga.
Kwa 100 ninaamini ataendelea kusalia Coastal, hata simba hawawezi mnunua kwa hyo hela. Hata 80 hamna timu itatoa, labda kama anawakazia yanga ili aende simba kwa bei chee kwa mapenzi yake binafsiHuyu Mwamnyeto asipoangalia akienda simba kipaji ndio kwa kwaher amwulize Mlipili pale Yanga pana nafasi ya kucheza simba anasajili ili kuwalundika tu na sio kuwatumia halafu m100 kwa mpira upi asipoangalia atakosa vyote
Kwenye timu iliyokamilika hawezi kupata nafasi.Ha ha ha kaka nakwambia yule mchezaji akiwa kwenye timu ilokamilika ktk idara nyingi anaweza kuwaka sana. Anapambana sana na akipata timu ilosukwa vema hata akiwekwa namba tisa akaaminiwa anaweza Fanya maajabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mshambuliaji wa kawaida mpaka sasa hajaleta impact yoyote zaidi ya kuongea kwenye magazetiKwenye timu iliyokamilika hawezi kupata nafasi.
Ni mzuri kwenye timu inayocheza kwa pressing na kushambulia kwa kushitukiza kwa sababu ni msumbufu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio nyeto tu bongo hakuna mchezaji mwenye thamani ya milioni 5, mwisho milioni mbili tuNyeto hana thamani hiyo
"Not everything is for everybody"