L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Jan 8, 2023 Thread starter #21 hp4510 said: Kuna siku wahusika watakwambia unachokifanya na unachotakiwa kufanya na utarudi hapa Mikono nyuma Endelea na ujuha wako tu Click to expand... Sawa Nashukuru mkuu
hp4510 said: Kuna siku wahusika watakwambia unachokifanya na unachotakiwa kufanya na utarudi hapa Mikono nyuma Endelea na ujuha wako tu Click to expand... Sawa Nashukuru mkuu
hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 7,235 Reaction score 7,392 Jan 8, 2023 #22 Lucas mwashambwa said: Sawa Nashukuru mkuu Click to expand... Tena siku sio nyingi, utarudi hapa ukiandika Kwa Heshima na Adabu na utatumia neno Rais Kwa Heshima zote
Lucas mwashambwa said: Sawa Nashukuru mkuu Click to expand... Tena siku sio nyingi, utarudi hapa ukiandika Kwa Heshima na Adabu na utatumia neno Rais Kwa Heshima zote
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Jan 8, 2023 Thread starter #23 hp4510 said: Tena siku sio nyingi, utarudi hapa ukiandika Kwa Heshima na Adabu na utatumia neno Rais Kwa Heshima zote Click to expand... Sawa mkuu
hp4510 said: Tena siku sio nyingi, utarudi hapa ukiandika Kwa Heshima na Adabu na utatumia neno Rais Kwa Heshima zote Click to expand... Sawa mkuu
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 7,092 Reaction score 11,613 Jan 8, 2023 #24 Lucas wewe ni mwanaume jifunze kujitegemea usipende vitu vya burebure shauri yako, msimu wa kilimo umeshaanza mvua zinanyesha shika jembe ukalime.
Lucas wewe ni mwanaume jifunze kujitegemea usipende vitu vya burebure shauri yako, msimu wa kilimo umeshaanza mvua zinanyesha shika jembe ukalime.
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Jan 8, 2023 Thread starter #25 goodluck5 said: Lucas wewe ni mwanaume jifunze kujitegemea usipende vitu vya burebure shauri yako, msimu wa kilimo umeshaanza mvua zinanyesha shika jembe ukalime. Click to expand... Msimu wa kilimo umeanza tangia Mwaka Jana na kwa Sasa tupo kwenye palizi.sisi wakulima tunakula kwa jasho letu
goodluck5 said: Lucas wewe ni mwanaume jifunze kujitegemea usipende vitu vya burebure shauri yako, msimu wa kilimo umeshaanza mvua zinanyesha shika jembe ukalime. Click to expand... Msimu wa kilimo umeanza tangia Mwaka Jana na kwa Sasa tupo kwenye palizi.sisi wakulima tunakula kwa jasho letu