Mwenyezi MUNGU Aendelee Kumjalia Afya njema Rais Wetu Mama Samia Katika Kuelekea kufunga miaka Miwili ya mafanikio na Matumaini katika kila secta.

Lucas wewe ni mwanaume jifunze kujitegemea usipende vitu vya burebure shauri yako, msimu wa kilimo umeshaanza mvua zinanyesha shika jembe ukalime.
 
Msimu wa kilimo umeanza tangia Mwaka Jana na kwa Sasa tupo kwenye palizi.sisi wakulima tunakula kwa jasho letu
 
Back
Top Bottom