Mwenyezi Mungu ametaka tujifunze kupitia kifo cha Temba

Life2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,387
Reaction score
4,880
Pumzika kwa Amani Temba ndio umekufa kifo cha kikatili sana sidhani kama uliwahi kufikiria utakufa kifo cha kikatili hivo.

Poleni sana wana familia wa Temba Mungu awe faraja kwenu kipindi hiki kigumu hakika ni msiba mkubwa sana kwenu na kwa wapenda haki na amani.

Lakini kupitia kifo cha Temba Mungu anataka tujifunze mambo makubwa yaliyo sirini.

1. Nimeona Temba alikua ni Mristo akiabudu KKKT.
Tunapata funzo gani hapa ni kwamba shetani hana rafiki tuungane wote tuyakemee haya.
Uwe Mromani uwe Mlokole hata Mwislamu vita hivi ni vyetu sote leo mimi kesho wewe.

2.Sio mwana Ccm wala mwana Chadema yupo salama.
Tumeona ndugu wengi wa Temba wakiwa Wana Ccm lakini ajabu leo shetani kakosa aibu na kaanza kula watoto wake.

3.Hakuna Ukabila kwenye maovu.
Bila shaka ndugu yetu Temba ni mwenyeji wa Kaskazini kama sio sikosei mchaga.
Ndugu zangu wachaga tambueni shetani hana rafiki, kipindi cha karibuni mmekua hamweleki ni kati ya kabila mlilokua mbele kutetea maovu, mmekua waasi wa ukombozi wa Taifa hili.
Vipande 30 vya fedha vimekua vitamu kwenu, mmeuza utu wenu kwa vipande 30.

Simameni kwenye haki.
 
Pumzika kwa Amani Temba ndio imekufa kifo cha kikatili sana sidhani kama uliwahifikiria utakufa kifo cha kikatili hivo.

Poleni sana wana familia wa Temba Mungu awe faraja kweu kipindi hiki kigumu hakika ni msiba mkubwa sana kwenu kwenu.

Lakini kupitia kifo cha Temba Mungu anataka tujifunze mambo makubwa yaliyo sirini.

1. Nimeona Temba alikua ni Mristo akiabudu KKKT.
Tunapata funzo gani hapa ni kwamba shetani hana rafiki tuungane wote tuyakemee haya.
Uwe Mromani uwe Mlokole hata Mwislamu vita hivi nivya wote leo mimi kesho wewe.

2.Sio mwana Ccm wana mwana Chadema yupo salama.
Tumeona ndugu wengi wa Temba wakiwa Wana Ccm lakini ajabu leo shetani kakosa aibu na kaanza kula watoto wake.

3.Hakuna Ukabila kwenye maovu.
Bila shaka ndugu yetu Temba ni mwenyeji wa Kaskazini kama sio mchaga.
Ndugu zangu wachaga tambueni shetani hana rafiki, kipindi cha karibuni mmekua hamweleki ni baadi ya kabila mlilokua mbele kutetea maovu, mmekua waasi wa ukombozi wa Taifa hili.

Huyo mwenyezi Mungu hujathibitisha yupo kweli.
 
Shetani ndiye mwasisi wa CCM na mfumo wake dhalimu wa kukumbatia mafisadi, kuteka watu, kuua watu, na kuwafanyia kila aina ta dhuluma.
CCM ni baba wa uongo, inadanganya umma kwamba mwenge unaleta amani penye chuki, kwanini hawauoeleki huko Iran, dunia itulie?
 
Mmejuaje aliuawa kikatili? Inawezekana aliuwa ''kistaarabu'' (kama ipo) halafu wakakata kichwa ili asijulikane (wakidhani hivyo)
Kuuwawa kwa binadamu hakuna justification yoyote.

There's nothing like "Kuuwawa kistaarabu"

Kuondoa uhai wa binadamu yeyote kwa namna yoyote ile ni UKATILI.

Usilete justifications uchwara za ustaarabu.
 
Pumzika kwa Amani Temba ndio imekufa kifo cha kikatili sana sidhani kama uliwahifikiria utakufa kifo cha kikatili hivo.

Poleni sana wana familia wa Temba Mungu awe faraja kweu kipindi hiki kigumu hakika ni msiba mkubwa sana kwenu kwenu.

Lakini kupitia kifo cha Temba Mungu anataka tujifunze mambo makubwa yaliyo sirini.

1. Nimeona Temba alikua ni Mristo akiabudu KKKT.
Tunapata funzo gani hapa ni kwamba shetani hana rafiki tuungane wote tuyakemee haya.
Uwe Mromani uwe Mlokole hata Mwislamu vita hivi nivya wote leo mimi kesho wewe.

2.Sio mwana Ccm wana mwana Chadema yupo salama.
Tumeona ndugu wengi wa Temba wakiwa Wana Ccm lakini ajabu leo shetani kakosa aibu na kaanza kula watoto wake.

3.Hakuna Ukabila kwenye maovu.
Bila shaka ndugu yetu Temba ni mwenyeji wa Kaskazini kama sio mchaga.
Ndugu zangu wachaga tambueni shetani hana rafiki, kipindi cha karibuni mmekua hamweleki ni baadi ya kabila mlilokua mbele kutetea maovu, mmekua waasi wa ukombozi wa Taifa hili.
Vipande 30 vya fedha vimekua vitamu kwenu, mmeuza utu wenu kwa vipande 30.

Simameni kwenye haki.
 
Pumzika kwa Amani Temba ndio imekufa kifo cha kikatili sana sidhani kama uliwahifikiria utakufa kifo cha kikatili hivo.

Poleni sana wana familia wa Temba Mungu awe faraja kweu kipindi hiki kigumu hakika ni msiba mkubwa sana kwenu kwenu.

Lakini kupitia kifo cha Temba Mungu anataka tujifunze mambo makubwa yaliyo sirini.

1. Nimeona Temba alikua ni Mristo akiabudu KKKT.
Tunapata funzo gani hapa ni kwamba shetani hana rafiki tuungane wote tuyakemee haya.
Uwe Mromani uwe Mlokole hata Mwislamu vita hivi nivya wote leo mimi kesho wewe.

2.Sio mwana Ccm wana mwana Chadema yupo salama.
Tumeona ndugu wengi wa Temba wakiwa Wana Ccm lakini ajabu leo shetani kakosa aibu na kaanza kula watoto wake.

3.Hakuna Ukabila kwenye maovu.
Bila shaka ndugu yetu Temba ni mwenyeji wa Kaskazini kama sio mchaga.
Ndugu zangu wachaga tambueni shetani hana rafiki, kipindi cha karibuni mmekua hamweleki ni baadi ya kabila mlilokua mbele kutetea maovu, mmekua waasi wa ukombozi wa Taifa hili.
Vipande 30 vya fedha vimekua vitamu kwenu, mmeuza utu wenu kwa vipande 30.

Simameni kwenye haki.
Alikuwa CCM.

Hii hoja yako ni FAKE
 
Kuuwawa kwa binadamu hakuna justification yoyote.

There's nothing like "Kuuwawa kistaarabu"

Kuondoa uhai wa binadamu yeyote kwa namna yoyote ile ni UKATILI.

Usilete justifications uchwara za ustaarabu.
Da... kwani wewe hujui maana ya alama kwenye sentensi? Nimeweka kabisa inverted commas neno kistaarabu na nikasisitiza na parandesi ''kama ipo''. Hayo siyo madoido ila ni kuonyesha kabisa hakuna kitu kama hicho. Tatizo ninalolina ni kuwa sisi watanzania huwa hatrutaki kushughulisha akili zetu. Mtu ameokotwa hana kichwa kila mtu anafanya conclusion kuwa kauawa kwa kukatwa kichwa..
 
Yaani ilivyo siku zote watu Kwa umoja wao wasipoamua Kusimamia Haki basi kuna siku isiyojulikana mtu au watu unaowafahamu, wa karibu au usiotarajia watakutwa na Jambo la kudhulumiwa maisha Yao maana ni mazoea ndio yanakuwa, mtu yyte as long as anajihisi ana nguvu basi atafanya tu....
 
Pumzika kwa Amani Temba ndio imekufa kifo cha kikatili sana sidhani kama uliwahifikiria utakufa kifo cha kikatili hivo.

Poleni sana wana familia wa Temba Mungu awe faraja kweu kipindi hiki kigumu hakika ni msiba mkubwa sana kwenu kwenu.

Lakini kupitia kifo cha Temba Mungu anataka tujifunze mambo makubwa yaliyo sirini.

1. Nimeona Temba alikua ni Mristo akiabudu KKKT.
Tunapata funzo gani hapa ni kwamba shetani hana rafiki tuungane wote tuyakemee haya.
Uwe Mromani uwe Mlokole hata Mwislamu vita hivi nivya wote leo mimi kesho wewe.

2.Sio mwana Ccm wana mwana Chadema yupo salama.
Tumeona ndugu wengi wa Temba wakiwa Wana Ccm lakini ajabu leo shetani kakosa aibu na kaanza kula watoto wake.

3.Hakuna Ukabila kwenye maovu.
Bila shaka ndugu yetu Temba ni mwenyeji wa Kaskazini kama sio mchaga.
Ndugu zangu wachaga tambueni shetani hana rafiki, kipindi cha karibuni mmekua hamweleki ni baadi ya kabila mlilokua mbele kutetea maovu, mmekua waasi wa ukombozi wa Taifa hili.
Vipande 30 vya fedha vimekua vitamu kwenu, mmeuza utu wenu kwa vipande 30.

Simameni kwenye haki.
CHADEMA mutaacha lini kutumia misiba kujinufaisha kisiasa!!?
 
Back
Top Bottom