Mwenyezi Mungu ametaka tujifunze kupitia kifo cha Temba

Kwani yeye ndiye kawatuma wamkate mwenzao kichwa?
Hebu rudia kusoma Title ya huu uzi.

Title inaanza hivi, "Mwenyezi Mungu  ametaka tujifunze kupitia kifo cha Temba".

Kwa hiyo Mwenyezi Mungu, aliplani kabisa, alijua kabisa na alitaka kabisa Temba auwawe ili watu wajifunze kupitia kifo cha Temba.

Kama kichwa cha uzi kilivyo.
 
Huyo aliyeandika siyo Mungu kwa hivyo ana uwezo wa kuandika anachokiona akilini mwake! Mimi sijajifunza lolote kutokana na huyo kijana kukatwa kichwa!
 
Ndugu wa Temba waende kijiji kinaitwa * ulyanga" kipo kwenye mpaka wa mikoa ya Lindi na Morogoro, kuna sehemu hapo wakienda kupeleka mashtaka Yao kama Leo basi watu wote waliohusika na hilo tukio wataenda kuungana na marehemu ndani ya masaa ishirini na nne.

Halafu bahati nzuri ni kwamba huyo Sangoma halipishi chochote anasaidia bure ukipata matokeo unayo yahitaji ndio unaenda kulipa shukurani . Mtajuaje kama wahusika wamekufa? Watapiga simu kwa ndugu wa marehemu kutubu dhambi zao but hawatafika masaa 24 watakufa wote.. Huko mahakamani ni kupotezeana tu muda.
 
Du! Inasikitisha sana 😢
 
Dogo kumbe upo? Ulipoteaga hapa kati.
 
Pumzika kwa Amani Temba ndio umekufa kifo cha kikatili sana sidhani kama uliwahi kufikiria utakufa kifo cha kikatili hivo.

Poleni sana wana familia wa Temba Mungu awe faraja kwenu kipindi hiki kigumu hakika ni msiba mkubwa sana kwenu na kwa wapenda haki na amani.

Lakini kupitia kifo cha Temba Mungu anataka tujifunze mambo makubwa yaliyo sirini.

1. Nimeona Temba alikua ni Mristo akiabudu KKKT.
Tunapata funzo gani hapa ni kwamba shetani hana rafiki tuungane wote tuyakemee haya.
Uwe Mromani uwe Mlokole hata Mwislamu vita hivi ni vyetu sote leo mimi kesho wewe.

2.Sio mwana Ccm wala mwana Chadema yupo salama.
Tumeona ndugu wengi wa Temba wakiwa Wana Ccm lakini ajabu leo shetani kakosa aibu na kaanza kula watoto wake.

3.Hakuna Ukabila kwenye maovu.
Bila shaka ndugu yetu Temba ni mwenyeji wa Kaskazini kama sio sikosei mchaga.
Ndugu zangu wachaga tambueni shetani hana rafiki, kipindi cha karibuni mmekua hamweleki ni kati ya kabila mlilokua mbele kutetea maovu, mmekua waasi wa ukombozi wa Taifa hili.
Vipande 30 vya fedha vimekua vitamu kwenu, mmeuza utu wenu kwa vipande 30.

Simameni kwenye haki.
Kama dola imehusika kichwa cha Temba hatutakiona hata kama wauaji wamepatikana ila kama haijahusika kichwa chake kitapatikana.
 
Ndugu wa Temba waende kijiji kinaitwa * ulyanga" kipo kwenye mpaka wa mikoa ya Lindi na Morogoro, kuna sehemu hapo wakienda kupeleka mashtaka Yao kama Leo basi watu wote waliohusika na hilo tukio wataenda kuungana na marehemu ndani ya masaa ishirini na nne.

Halafu bahati nzuri ni kwamba huyo Sangoma halipishi chochote anasaidia bure ukipata matokeo unayo yahitaji ndio unaenda kulipa shukurani . Mtajuaje kama wahusika wamekufa? Watapiga simu kwa ndugu wa marehemu kutubu dhambi zao but hawatafika masaa 24 watakufa wote.. Huko mahakamani ni kupotezeana tu muda.
Waliokata kichwa kwa taarifa hii wanaweza kutangulia huko kwenda kujiprotect wasipate madhara.
 
Haipo hivyo.. Huyo Sangoma hafanyi dhulma anatenda haki. Wakienda huko watakufa kwa ajaili wakati wanarudi
 
haipendezi kuhusisha kila matukio na siasa

nafikiri tuwachie jeshi la polisi wafanye kazi yao ndugu hili mnalolifanya nikuichonganisha serikali na watu bila tija yoyote
 
Tumeona ndugu wengi wa Temba wakiwa Wana Ccm lakini ajabu leo shetani kakosa aibu na kaanza kula watoto wake.😅🤣😂
 
Back
Top Bottom