Huyo mwenyezi Mungu hujathibitisha yupo kweli.Pumzika kwa Amani Temba ndio imekufa kifo cha kikatili sana sidhani kama uliwahifikiria utakufa kifo cha kikatili hivo.
Poleni sana wana familia wa Temba Mungu awe faraja kweu kipindi hiki kigumu hakika ni msiba mkubwa sana kwenu kwenu.
Lakini kupitia kifo cha Temba Mungu anataka tujifunze mambo makubwa yaliyo sirini.
1. Nimeona Temba alikua ni Mristo akiabudu KKKT.
Tunapata funzo gani hapa ni kwamba shetani hana rafiki tuungane wote tuyakemee haya.
Uwe Mromani uwe Mlokole hata Mwislamu vita hivi nivya wote leo mimi kesho wewe.
2.Sio mwana Ccm wana mwana Chadema yupo salama.
Tumeona ndugu wengi wa Temba wakiwa Wana Ccm lakini ajabu leo shetani kakosa aibu na kaanza kula watoto wake.
3.Hakuna Ukabila kwenye maovu.
Bila shaka ndugu yetu Temba ni mwenyeji wa Kaskazini kama sio mchaga.
Ndugu zangu wachaga tambueni shetani hana rafiki, kipindi cha karibuni mmekua hamweleki ni baadi ya kabila mlilokua mbele kutetea maovu, mmekua waasi wa ukombozi wa Taifa hili.
Vipande 30 vya fedha vimekua vitamu kwenu, mmeuza utu wenu kwa vipande 30.
Simameni kwenye haki.
Shetani ndiye mwasisi wa CCM na mfumo wake dhalimu wa kukumbatia mafisadi, kuteka watu, kuua watu, na kuwafanyia kila aina ta dhuluma.Pumzika kwa Amani Temba ndio imekufa kifo cha kikatili sana sidhani kama uliwahifikiria utakufa kifo cha kikatili hivo.
Poleni sana wana familia wa Temba Mungu awe faraja kweu kipindi hiki kigumu hakika ni msiba mkubwa sana kwenu kwenu.
Lakini kupitia kifo cha Temba Mungu anataka tujifunze mambo makubwa yaliyo sirini.
1. Nimeona Temba alikua ni Mristo akiabudu KKKT.
Tunapata funzo gani hapa ni kwamba shetani hana rafiki tuungane wote tuyakemee haya.
Uwe Mromani uwe Mlokole hata Mwislamu vita hivi nivya wote leo mimi kesho wewe.
2.Sio mwana Ccm wana mwana Chadema yupo salama.
Tumeona ndugu wengi wa Temba wakiwa Wana Ccm lakini ajabu leo shetani kakosa aibu na kaanza kula watoto wake.
3.Hakuna Ukabila kwenye maovu.
Bila shaka ndugu yetu Temba ni mwenyeji wa Kaskazini kama sio mchaga.
Ndugu zangu wachaga tambueni shetani hana rafiki, kipindi cha karibuni mmekua hamweleki ni baadi ya kabila mlilokua mbele kutetea maovu, mmekua waasi wa ukombozi wa Taifa hili.
Vipande 30 vya fedha vimekua vitamu kwenu, mmeuza utu wenu kwa vipande 30.
Simameni kwenye haki.
Unamchukia sana Mungu wetu, sio kwa mashambulizi haya!Huyo Mungu aliyeshindwa kumlinda Temba asiuwawe, Hana Faraja yoyote kwa wafiwa.
Huyo Mungu ni Matumaini hewaaa!!
Mmejuaje aliuawa kikatili? Inawezekana aliuwa ''kistaarabu'' (kama ipo) halafu wakakata kichwa ili asijulikane (wakidhani hivyo)Huyo Mungu alishindwaje kumlinda Temba asiuwawe kikatili hivyo?
Kuuwawa kwa binadamu hakuna justification yoyote.Mmejuaje aliuawa kikatili? Inawezekana aliuwa ''kistaarabu'' (kama ipo) halafu wakakata kichwa ili asijulikane (wakidhani hivyo)
Huyo Mungu mnayemwamini miaka nenda rudi, Haonekanagi kwenye matukio yanayo hitaji msaada wake.Unamchukia sana Mungu wetu, sio kwa mashambulizi haya!
Pumzika kwa Amani Temba ndio imekufa kifo cha kikatili sana sidhani kama uliwahifikiria utakufa kifo cha kikatili hivo.
Poleni sana wana familia wa Temba Mungu awe faraja kweu kipindi hiki kigumu hakika ni msiba mkubwa sana kwenu kwenu.
Lakini kupitia kifo cha Temba Mungu anataka tujifunze mambo makubwa yaliyo sirini.
1. Nimeona Temba alikua ni Mristo akiabudu KKKT.
Tunapata funzo gani hapa ni kwamba shetani hana rafiki tuungane wote tuyakemee haya.
Uwe Mromani uwe Mlokole hata Mwislamu vita hivi nivya wote leo mimi kesho wewe.
2.Sio mwana Ccm wana mwana Chadema yupo salama.
Tumeona ndugu wengi wa Temba wakiwa Wana Ccm lakini ajabu leo shetani kakosa aibu na kaanza kula watoto wake.
3.Hakuna Ukabila kwenye maovu.
Bila shaka ndugu yetu Temba ni mwenyeji wa Kaskazini kama sio mchaga.
Ndugu zangu wachaga tambueni shetani hana rafiki, kipindi cha karibuni mmekua hamweleki ni baadi ya kabila mlilokua mbele kutetea maovu, mmekua waasi wa ukombozi wa Taifa hili.
Vipande 30 vya fedha vimekua vitamu kwenu, mmeuza utu wenu kwa vipande 30.
Simameni kwenye haki.
Kwani yeye ndiye kawatuma wamkate mwenzao kichwa?Huyo Mungu mnayemwamini miaka nenda rudi, Haonekanagi kwenye matukio yanayo hitaji msaada wake.
Lakini bado watu wanakaza mafuvu, kumwamini Mungu asiyekuwepo.
Alikuwa CCM.Pumzika kwa Amani Temba ndio imekufa kifo cha kikatili sana sidhani kama uliwahifikiria utakufa kifo cha kikatili hivo.
Poleni sana wana familia wa Temba Mungu awe faraja kweu kipindi hiki kigumu hakika ni msiba mkubwa sana kwenu kwenu.
Lakini kupitia kifo cha Temba Mungu anataka tujifunze mambo makubwa yaliyo sirini.
1. Nimeona Temba alikua ni Mristo akiabudu KKKT.
Tunapata funzo gani hapa ni kwamba shetani hana rafiki tuungane wote tuyakemee haya.
Uwe Mromani uwe Mlokole hata Mwislamu vita hivi nivya wote leo mimi kesho wewe.
2.Sio mwana Ccm wana mwana Chadema yupo salama.
Tumeona ndugu wengi wa Temba wakiwa Wana Ccm lakini ajabu leo shetani kakosa aibu na kaanza kula watoto wake.
3.Hakuna Ukabila kwenye maovu.
Bila shaka ndugu yetu Temba ni mwenyeji wa Kaskazini kama sio mchaga.
Ndugu zangu wachaga tambueni shetani hana rafiki, kipindi cha karibuni mmekua hamweleki ni baadi ya kabila mlilokua mbele kutetea maovu, mmekua waasi wa ukombozi wa Taifa hili.
Vipande 30 vya fedha vimekua vitamu kwenu, mmeuza utu wenu kwa vipande 30.
Simameni kwenye haki.
Da... kwani wewe hujui maana ya alama kwenye sentensi? Nimeweka kabisa inverted commas neno kistaarabu na nikasisitiza na parandesi ''kama ipo''. Hayo siyo madoido ila ni kuonyesha kabisa hakuna kitu kama hicho. Tatizo ninalolina ni kuwa sisi watanzania huwa hatrutaki kushughulisha akili zetu. Mtu ameokotwa hana kichwa kila mtu anafanya conclusion kuwa kauawa kwa kukatwa kichwa..Kuuwawa kwa binadamu hakuna justification yoyote.
There's nothing like "Kuuwawa kistaarabu"
Kuondoa uhai wa binadamu yeyote kwa namna yoyote ile ni UKATILI.
Usilete justifications uchwara za ustaarabu.
CHADEMA mutaacha lini kutumia misiba kujinufaisha kisiasa!!?Pumzika kwa Amani Temba ndio imekufa kifo cha kikatili sana sidhani kama uliwahifikiria utakufa kifo cha kikatili hivo.