Mwenyezi Mungu ametaka tujifunze kupitia kifo cha Temba

Kwani yeye ndiye kawatuma wamkate mwenzao kichwa?
Hebu rudia kusoma Title ya huu uzi.

Title inaanza hivi, "Mwenyezi Mungu  ametaka tujifunze kupitia kifo cha Temba".

Kwa hiyo Mwenyezi Mungu, aliplani kabisa, alijua kabisa na alitaka kabisa Temba auwawe ili watu wajifunze kupitia kifo cha Temba.

Kama kichwa cha uzi kilivyo.
 
Huyo aliyeandika siyo Mungu kwa hivyo ana uwezo wa kuandika anachokiona akilini mwake! Mimi sijajifunza lolote kutokana na huyo kijana kukatwa kichwa!
 
Ndugu wa Temba waende kijiji kinaitwa * ulyanga" kipo kwenye mpaka wa mikoa ya Lindi na Morogoro, kuna sehemu hapo wakienda kupeleka mashtaka Yao kama Leo basi watu wote waliohusika na hilo tukio wataenda kuungana na marehemu ndani ya masaa ishirini na nne.

Halafu bahati nzuri ni kwamba huyo Sangoma halipishi chochote anasaidia bure ukipata matokeo unayo yahitaji ndio unaenda kulipa shukurani . Mtajuaje kama wahusika wamekufa? Watapiga simu kwa ndugu wa marehemu kutubu dhambi zao but hawatafika masaa 24 watakufa wote.. Huko mahakamani ni kupotezeana tu muda.
 
Du! Inasikitisha sana 😢
 
Dogo kumbe upo? Ulipoteaga hapa kati.
 
Kama dola imehusika kichwa cha Temba hatutakiona hata kama wauaji wamepatikana ila kama haijahusika kichwa chake kitapatikana.
 
Waliokata kichwa kwa taarifa hii wanaweza kutangulia huko kwenda kujiprotect wasipate madhara.
 
Waliokata kichwa kwa taarifa hii wanaweza kutangulia huko kwenda kujiprotect wasipate madhara.
Haipo hivyo.. Huyo Sangoma hafanyi dhulma anatenda haki. Wakienda huko watakufa kwa ajaili wakati wanarudi
 
haipendezi kuhusisha kila matukio na siasa

nafikiri tuwachie jeshi la polisi wafanye kazi yao ndugu hili mnalolifanya nikuichonganisha serikali na watu bila tija yoyote
 
Tumeona ndugu wengi wa Temba wakiwa Wana Ccm lakini ajabu leo shetani kakosa aibu na kaanza kula watoto wake.😅🤣😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…