MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wewe hupendi mshahara? Unaweza fanya kazi bila mshahara?Nikajua unawapongeza kwa ufanisi mzuri pamoja na ubunifu mpya waliokuja nao kwenye utoaji wa huduma zao, kumbe unawapongeza kwa mishaara wanayowalipa??
Ila wabongo kwa kupenda mishaara kuliko kazi hamjambo.
Mimi Nina mentality ya kijewish au kijapani, huwa napenda zaidi output ya kile ninachokifanya ambacho ni kipimo Cha ufanisi wangu, mshaara kwangu ni secondary thing to considerWewe hupendi mshahara? Unaweza fanya kazi bila mshahara?
Mpe elimu huyo mleta mada serikal inayo mkono wake hapo kwanza kubwa tu asseme n ya mtu bnafsKwa taarifa yako PUMA ni kampuni inayoendesha kwa ubia na serikali ya Tanzania.Kwa maana nyepesi serikali ya Tanzania ni mmiliki pia wa kampuni hiyo
Kama haimilikiwi na watu kutoka Asia basi lazima ijali watuSidhani kama Kuna Private energy company inayolipa vizuri kama Puma, na kufata taratibu na Sheria za kazi.
Kiukweli Mungu awaweke na kuwapa maisha marefu maboss wa PUMA, nyie nimfano mzuri wakuigwa.
Natamani Bakharesa & MO na makampuni mengine yaige namna yakuwapa thaman wafanyakazi wao kama PUMA inavyofanya licha ya mishahara mizuri lakini bado bonus za kutosha.
Wenye PUMA mbarikiwe huko duniani mlipo.
"Nimenukuu maneno ya mfanyakaz wa PUMA, Kipindi napiga nae story Leo."
Kipato kizuri huongeza ufanisi wa kazi, kwa kujenga utulivu wa afya ya akili.Nikajua unawapongeza kwa ufanisi mzuri pamoja na ubunifu mpya waliokuja nao kwenye utoaji wa huduma zao, kumbe unawapongeza kwa mishaara wanayowalipa??
Ila wabongo kwa kupenda mishaara kuliko kazi hamjambo.
Hilo ndilo tatizo la vijana wa kileo. Wanahangaikia mishahara minono, ukiwapa kazi wanachemka. Anataka apate mshahara mnono wakati huo huo muda mrefu akae JF na kuhangaika na CCM na Chadema, kuhangaika na Simba na Yanga. Israel na Gaza, Urusi na Kiev etc.Nikajua unawapongeza kwa ufanisi mzuri pamoja na ubunifu mpya waliokuja nao kwenye utoaji wa huduma zao, kumbe unawapongeza kwa mishaara wanayowalipa??
Ila wabongo kwa kupenda mishaara kuliko kazi hamjambo.
Kivha ya kulipa vizuri, service nazo ni za viwango vya juu, from mafuta and serviceSidhani kama Kuna Private energy company inayolipa vizuri kama Puma, na kufata taratibu na Sheria za kazi.
Kiukweli Mungu awaweke na kuwapa maisha marefu maboss wa PUMA, nyie nimfano mzuri wakuigwa.
Natamani Bakharesa & MO na makampuni mengine yaige namna yakuwapa thaman wafanyakazi wao kama PUMA inavyofanya licha ya mishahara mizuri lakini bado bonus za kutosha.
Wenye PUMA mbarikiwe huko duniani mlipo.
"Nimenukuu maneno ya mfanyakaz wa PUMA, Kipindi napiga nae story Leo."
Kwenye hayo makubaliano serikali ina run activities gani? Au wanamiliki hissa tu halaf hawachangii chochote operational wise?Hujui kuwa 50% ya PUMA ENERGY inamikikiwa na serikali
Sasa tanzania nako ni duniani, si matakoni mwa dunia 😂🤣Kwani wewe uko wapi Mkuu?
Sidhani kama Kuna Private energy company inayolipa vizuri kama Puma, na kufata taratibu na Sheria za kazi.
Kiukweli Mungu awaweke na kuwapa maisha marefu maboss wa PUMA, nyie nimfano mzuri wakuigwa.
Natamani Bakharesa & MO na makampuni mengine yaige namna yakuwapa thaman wafanyakazi wao kama PUMA inavyofanya licha ya mishahara mizuri lakini bado bonus za kutosha.
Wenye PUMA mbarikiwe huko duniani mlipo.
"Nimenukuu maneno ya mfanyakaz wa PUMA, Kipindi napiga nae story Leo."
Puma wanamwaga pesa sana, nakumbuka kipindi nmemaliza kidato cha sita nlifanya nao kazi kama Data collector kwenye kampuni moja ya tafiti za masoko. Task ilikua ni kuhoji watumiaji na wasio watumiaji wa Puma petrol station, kwa mwezi mmoja nakumbuka nililipwa 1.4M plus posho za kila siku ilifika kama 1.7MSidhani kama Kuna Private energy company inayolipa vizuri kama Puma, na kufata taratibu na Sheria za kazi.
Kiukweli Mungu awaweke na kuwapa maisha marefu maboss wa PUMA, nyie nimfano mzuri wakuigwa.
Natamani Bakharesa & MO na makampuni mengine yaige namna yakuwapa thaman wafanyakazi wao kama PUMA inavyofanya licha ya mishahara mizuri lakini bado bonus za kutosha.
Wenye PUMA mbarikiwe huko duniani mlipo.
"Nimenukuu maneno ya mfanyakaz wa PUMA, Kipindi napiga nae story Leo."
Mshaara ❌. Una mentality ya kimaskini.Mimi Nina mentality ya kijewish au kijapani, huwa napenda zaidi output ya kile ninachokifanya ambacho ni kipimo Cha ufanisi wangu, mshaara kwangu ni secondary thing to consider
Wewe ndio una mentality ya kimaskini, maana maskini huwa hamuwazi ufanisi Bali mnawaza kazi imalizike upewe hela yako tu.... Halafu watu kama wewe huwa mnapenda sana shortcuts na ndio wezi wakubwaMshaara ❌. Una mentality ya kimaskini.
Kijana wa kitanzania akiajiriwa sehemu yoyote ile kitu Cha kwanza kinachomuijia akilin ni namna gani atatimiza malengo yake binafsi kwa haraka kupitia kazi hiyo na atafanya juu chini hili ajue kama Kuna mwanya wowote wa kujiingizia pato la ziada kinyume na utaratibu(ubadhirifu) nje na mshaara anaolipwa..... Na ikitokea amekosa loophole yoyote ya upigaji anajikuta ghafla anauchukia hiyo kazi.Hilo ndilo tatizo la vijana wa kileo. Wanahangaikia mishahara minono, ukiwapa kazi wanachemka. Anataka apate mshahara mnono wakati huo huo muda mrefu akae JF na kuhangaika na CCM na Chadema, kuhangaika na Simba na Yanga. Israel na Gaza, Urusi na Kiev etc.