Anaongea kufurahisha genge huyo, unafikiri kwanini kila mtu akiwaza ajira serikalini anawaza kwanza TRA na Mashirika mengine makubwa ya serikali? Its all about the misimbazis!Endelea mkuu kupenda kazi. Lakini huwezi kupenda kazi ukiwa na njaa, hujalipia ada watoto, mkeo/mwanao akiumwa huna uhakika wa matibabu yake, usafir asubuhi wagombania daladala au mwendokas masaa 2 upo stand. Then uwe wawaza kazi kwanza kuliko mshahara basi utakua vizuri.
Eeh, hapo anakubana uwahi kazini ukichelewa kidogo anakunyenga 😂Daah jamaa hao kufanya nao kazi inafaa ujizime data kweli la sivyo bora uwe jobless tu.
Hayo huwezi kuyafanya ukiwa Private company. Labda uwe kwenye NGO's na Serikalini ndio kuna room ya uzembe wa aina hioKijana wa kitanzania akiajiriwa sehemu yoyote ile kitu Cha kwanza kinachomuijia akilin ni namna gani atatimiza malengo yake binafsi kwa haraka kupitia kazi hiyo na atafanya juu chini hili ajue kama Kuna mwanya wowote wa kujiingizia pato la ziada kinyume na utaratibu(ubadhirifu) nje na mshaara anaolipwa..... Na ikitokea amekosa loophole yoyote ya upigaji anajikuta ghafla anauchukia hiyo kazi.
Ni wachache sana ambao huwa wanafikiria kuleta ufanisi wao kwa 100%, wao vipaumbele vyao ni mishaara na upigaji.
Muda wa kazi wenyewe hawautumii ipasvyo, unakuta wakienda kunywa chai wanatumia masaa 2 na Bado wakiwa wanafanya kazi concentration hamna, muda mwingi simu ziko mkononi anaangalia nini kinatrend mjini,
Sawa KABISA mkuu, ila wabongo wanajulikana tu ni watu wa aina gani.... Hata huko private sector wataamgalia aina ya management iliyopo kama inaruhusu uzembe au lah kabla hawajaanza kufanya kazi kimazoea huku wakitongozana muda wa kazi.Hayo huwezi kuyafanya ukiwa Private company. Labda uwe kwenye NGO's na Serikalini ndio kuna room ya uzembe wa aina hio
Inaitwa mishahara na siyo mishaara.Nikajua unawapongeza kwa ufanisi mzuri pamoja na ubunifu mpya waliokuja nao kwenye utoaji wa huduma zao, kumbe unawapongeza kwa mishaara wanayowalipa??
Ila wabongo kwa kupenda mishaara kuliko kazi hamjambo.
Uko sahihi mno. Watanzania ni wavivu sana halafu wanapenda kupata mapato kwa shortcut na pia ngono.Sawa KABISA mkuu, ila wabongo wanajulikana tu ni watu wa aina gani.... Hata huko private sector wataamgalia aina ya management iliyopo kama inaruhusu uzembe au lah kabla hawajaanza kufanya kazi kimazoea huku wakitongozana muda wa kazi.
Asante kwa marekebisho...Inaitwa mishahara na siyo mishaara.
Huu ni ukweli ulio uchi, mbongo hata umlipe 10m kwa mwezi atafanya kazi kiuadilifu kwa muda tu... Ila itafika stage hiyo salary ataizoea na vipaumbele vyake binafsi anavi maximize na hapo ndio atakapogundua kwamba mshaara alionao hautoshi na hivyo itabidi atafute namna ya kujiongeza...Uko sahihi mno. Watanzania ni wavivu sana halafu wanapenda kupata mapato kwa shortcut na pia ngono.
Hivi yule Mturuki aliekamatwa amepiga pesa za Sgr anatoroka nazo Airport alikua Mbongo?.Huu ni ukweli ulio uchi, mbongo hata umlipe 10m kwa mwezi atafanya kazi kiuadilifu kwa muda tu... Ila itafika stage hiyo salary ataizoea na vipaumbele vyake binafsi anavi maximize na hapo ndio atakapogundua kwamba mshaara alionao hautoshi na hivyo itabidi atafute namna ya kujiongeza...
Nafikiri unamkumbuka yule jamaa wa TRA aliyekutwaga anamiliki nyumba 70 hapa dar na hela za kigeni amezihifadhi nyumbani kwake kipindi kile Magufuli ndio anaingia madarakani, jamaa naskiaga alikuwaga analipwa 45m kwa mwezi.
Niwatu gani ambao sio wavivu na hawapendi kupata mapato kwa kutumia shortcut?. Na niwatu wepi ambao hawapendi ngono?.Uko sahihi mno. Watanzania ni wavivu sana halafu wanapenda kupata mapato kwa shortcut na pia ngono.
Kazi ipoKima cha chini cha mshahara serikalini ni bora kingekuwa laki 6 kwa haya maisha ya sasa,lakin hz ldki 4 sjui watu wanatoboaje na hii mikopo tena
Huijui dunia wewe.Niwatu gani ambao sio wavivu na hawapendi kupata mapato kwa kutumia shortcut?. Na niwatu wepi ambao hawapendi ngono?.
Napia niwatu wapi ambao wanasifika kwa unyonyaji?. Kulipa watu pesa kidogo bila kuzingatia uzito wa kazi zao?.
Kwa vile mtoto wa jirani yako huwa ana tabia ya kujikojelea kitandani Kila siku usiku, basi haiukupi sababu ya wewe kutokumsema mtoto wako siku ukiona ameanza na yeye kujikojolea kitandani...!!Hivi yule Mturuki aliekamatwa amepiga pesa za Sgr anatoroka nazo Airport alikua Mbongo?.
Hivi wabadhirifu wapo Bongo tu?.
Nimekuuambia useme niwatu gani ambao sio wabadhirifu waanza kuzunguka zunguka. Maana nachofahamu Mimi hakuna jamii inayosa waadilifu na wabadhirifu. Sasa wewe umekomaa na wabongo wavivu, wabongo wezi, wabongo wazee wa shortcut. Niambie wewe watu gani ambao hayo unayosema hawanaKwa vile mtoto wa jirani yako huwa ana tabia ya kujikojelea kitandani Kila siku usiku, basi haiukupi sababu ya wewe kutokumsema mtoto wako siku ukiona ameanza na yeye kujikojolea kitandani...!!
So kwamba unataka tusiongelee kasumba iliyokomaa kwa wabongo wengi ya kuendekeza wizi, ufisadi,rushwa, ubadhirifu,uchakachuaji eti kwa sababu tu Kuna raia ambaye si mbongo na yeye amewahi kukamatwa akifanya makosa yanayofanana na hayo sio???
Unashangaza sana jamaa
Wewe mwenyekuijua hujibu ulichoulizwa acheni tabia ya samaki mmoja akioza mnasema wote. Hao ambao mnawaoana wema na wachapakazi huko kwao wasingekua na kesi za wabadhirifu na wahujumu uchumi.Huijui dunia wewe.
Na Mimi nimekuuliza swali hapo rahisi tu ila hutaki kulijibu kwa makusudi...Nimekuuambia useme niwatu gani ambao sio wabadhirifu waanza kuzunguka zunguka. Maana nachofahamu Mimi hakuna jamii inayosa waadilifu na wabadhirifu. Sasa wewe umekomaa na wabongo wavivu, wabongo wezi, wabongo wazee wa shortcut. Niambie wewe watu gani ambao hayo unayosema hawana