Mwenyezi Mungu awajalie maisha marefu wamiliki wa Puma Energy Tanzania

Kauli yako ilikua kuwazodoa watz nakuonyesha nawatu ambao wasioweza lolote.
 
Wewe mwenyekuijua hujibu ulichoulizwa acheni tabia ya samaki mmoja akioza mnasema wote. Hao ambao mnawaoana wema na wachapakazi huko kwao wasingekua na kesi za wabadhirifu na wahujumu uchumi.
Chema chauza kibaya chajitembeza. Tanzania raslimali kibao lakini ufukara kila kona. Kama siyo uvivu na wizi wa sisi raia ni nini?
 
Umelipwa Tsh ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…