Daah.. nimepakumbuka sana InyongaKaribieni huku halmashauri ya mlele mpige hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah.. nimepakumbuka sana InyongaKaribieni huku halmashauri ya mlele mpige hela
Kauli yako ilikua kuwazodoa watz nakuonyesha nawatu ambao wasioweza lolote.Na Mimi nimekuuliza swali hapo rahisi tu ila hutaki kulijibu kwa makusudi...
Wewe nyumbani kwenu akitokea ndugu yako mlevi, ambaye anakunywa pombe mpaka anafikia hatu ya kujikojelea na kujinyea kabisa... Je, utaacha kumsema na kumkemea eti kwa vile yeye sio mtu wa kwanza kulewa mpaka kufikia hatua ya kujikojolea na kujinyea?
Yaani unataka tuache kekemea na kuwasema wezi eti kisa Kila Jamii Ina watu wa aina hiyo?? Akili za wapi???
Watu kama wewe ni toxic sana Kwenye Jamii yetu
Chema chauza kibaya chajitembeza. Tanzania raslimali kibao lakini ufukara kila kona. Kama siyo uvivu na wizi wa sisi raia ni nini?Wewe mwenyekuijua hujibu ulichoulizwa acheni tabia ya samaki mmoja akioza mnasema wote. Hao ambao mnawaoana wema na wachapakazi huko kwao wasingekua na kesi za wabadhirifu na wahujumu uchumi.
Jamaa wagumu sana waleEeh, hapo anakubana uwahi kazini ukichelewa kidogo anakunyenga 😂
Umelipwa Tsh ngapi?Sidhani kama Kuna Private energy company inayolipa vizuri kama Puma, na kufata taratibu na Sheria za kazi.
Kiukweli Mungu awaweke na kuwapa maisha marefu maboss wa PUMA, nyie nimfano mzuri wakuigwa.
Natamani Bakharesa & MO na makampuni mengine yaige namna yakuwapa thaman wafanyakazi wao kama PUMA inavyofanya licha ya mishahara mizuri lakini bado bonus za kutosha.
Wenye PUMA mbarikiwe huko duniani mlipo.
"Nimenukuu maneno ya mfanyakaz wa PUMA, Kipindi napiga nae story Leo."
Laki Mojo kwa mwezi.Umelipwa Tsh ngapi?