Mwenyezi Mungu tujaalie tupate Magufuli Mwingine

Watumishi wa umma ulikuwa ukikaona kazee kamevaa yeboyebo mguu wa kushoto nyekundu na kulia ya njano kanahitaji huduma unakanyenyekea na maji ya kunywa unakanunulia maana hujuhi kametumwa na JPM mwenyewe!
Sasa hivi hadi message itoke Msoga hadi magogoni Raha Sana!

Tunaofahamu jinsi nature inavyo-operate tunajua kuwa siku siyo nyingi atakuja JPM version ile ile.
 
Wapo watakao mtukana na kumuita majina ya kila aina lakini wazalendo Wa hili taifa wanajua thamani yake TANZANIA, R.I.P MAGU.

TIME HEALS ALL WOUNDS
Wengi wanaomponda ni wale ndg au wazazi wao walikuwa majizi Magu ajawafyeka mf marehemu fisadi Wilson Kabwe alipotumbuliwa akafa sasa ndg zake hawawezi wakamfurahia Magu. R I P MAGUFULI.
 
Naunga mkono hoja, bila shaka 2025 tutampata Magufuli mwingine. Watu wengi hasa wa kipato cha chini wananung’uka sana juu ya awamu hii ya sita.
 
Viongozi aina ya Magufuli ni nadra kupatikana.Viongozi wazalendo,wachapakazi,wapinga rushwa na wenye uweledi wa hali ya juu katika utendaji ni almasi ambayo ni nadra kupatikana mchangani.Itachukua muda sana kupata kiongozi aina ya Magufuli.Lakini ipo siku atapatikana.
 
Uncle Magu..ooh Uncle Magu.

Hivi kifo hakina kukata rufaa kweli wadau?

Sasa hivi mtaani hatuna hata matumaini ya kupata maendeleo. Wakati wa JPM tuliona maendeleo yanatusogelea Kila Kona. Sasa hivi tupo tu.
Kwenye kaz ya MUNGU hakunaga NEC!
 
Mkuu Mungu hapendi ujinga... Acha!
Nchi hii inahitaji mifumo thabiti kuliko watu wanaojimwambafy!
Watu uja na kutokomea kusikojulikana! Mifumo imara itabaki!!
 

Hakuna Magufuli mwingine ndiyo Mungu huyohuyo kampenda zaidi! . Cha maana ni kuweka nchi kwenye mstari wa sheria badala ya kutegemea mtu. Huwezi kuendesha nchi vizuri kwa kutegemea mtu mmoja hapo kuna tatizo kubwa. Watanzania wenyewe ndiyo tatizo. Magu alikosea sana kwa kuwaweka wabunge na watendaji bila kufuata demokrasia sasa katuachia nchi ambayo Rais ni Mungu na Mungu amekataa hili na katuonyesha nani ni Mungu
 
Ungelikuwa na maarifa japo kiduchu walahu kama mbegu ya mchicha ungefanya makubwa kulihokoa taifa hili!
 
Yule Mzee ibilisi Inafaa Kaburi lake liteketezwe Kwa Moto ama Lipigwe Bomu lilipuke Completely asije akarudi tena
 
Mpinga rushwa anaejenga uwanja wa ndege kijijini kwao Kwa kampuni yake?

Jinga kabisa
 
Ulaaniwe
 
Yule mzee kama Mungu alitupa laana.. Magu alikuwa zaidi ya shetani
Basi hauko sawa kabisa . Kama alikua shetani wewe nani? Jifunze kuzungumza vizuri acha chuki bwana toa hoja na hata kama alikosea atarudi arekebishe makosa never jirekebishe wewe na kauli zako mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…