Mwenyezi Mungu tujaalie tupate Magufuli Mwingine

bahati hua haijirudii na bado muda unakuja tutajua tu kua tulimpoteza Rais
Kwanini kwenye mambo ya hovyo mnapenda kutumia wingi? Yaani jiwe unamwona Rais bora? Ndiyo maana hata Gwajiboy ana waumini.
 
Uncle Magu..ooh Uncle Magu.

Hivi kifo hakina kukata rufaa kweli wadau?

Sasa hivi mtaani hatuna hata matumaini ya kupata maendeleo. Wakati wa JPM tuliona maendeleo yanatusogelea Kila Kona. Sasa hivi tupo tu.
Kufa mfate
 
Kitu ambacho wakati wa Magu ni jambo la siku mbili tu, jaza fomu weka picha kitambulisho cha Utaifa umemaliza kazi siku ya piili unapokea pasi yako.
Ntakutukana bureee!! uone nimekosa adabu!!! kwanza alikuwa hataki msafiri!!! watumishi wa sirikali ndo kabisaaa!! sasa huyo mtu mnyama!! unaona sawa watu kutekwa halafu anapiga kimya?? Risasi alizo miminiwa mwenzako unaona sawa!! si ufe tu na wewe!!!... unasubiri nini.... naomba Jiwe aendelee kufa!
 

Mutaongea na kupiga makelele yaco na maana lakinii ndio rais wenu, na kinachowaumiza zaidi ni MZANZIBARI/IMANI YAKE 👈🏽👈🏽👈🏽👈🏽👈🏽👈🏽👈🏽


Mungu ampe afya njema mamaetu.


Kingine mzee,,,Mitume wa Mwenyezi Mungu wameondoka na ndio Mitume haoo, sembuse ndugu yako magufuli!!!!
 
Ndio maana Wazalendo wa kweli wa nchi hii hatutaacha kumlilia Hayati Rais Magufuli ingawa tunaujua ukweli kuwa hawezi kurudi na tunalazimika kuishi na hawa tulionao sasa!
Dada acha kulialia hapa. Kwanini mnamchukia huyu mama??? Unataka kusema magu ni bora kuliko mama samia? Au kwa sababu ni muisilamu!!! Mbona wakristo wengi tu wanampenda na kumkubari!!!!


Mitume wa Mwenyezi Mungu wameondoka na ndio Mitume haoo,,sembuse ndugu yako magu!!!!


Wafuasi wa magu mkoje lakini!!!!!
 
Acha uongo huo ulishindwa kumuona hata boss wao KILA boss ana boss wake Ina maana wote hao wameshindwa kukusaidia ,kama mabosi nao walishindwa ulishindwa kwenda hata kwenye vyombo vingine vinavyodhibiti vyombo vya serikali kama ukutendewa haki na idara yeyeto.
Ukitimiza vigezo hio laki tano toa tu wape Mungu atakubariki unazo nyingi za kutoa.
 
Ndio maana Wazalendo wa kweli wa nchi hii hatutaacha kumlilia Hayati Rais Magufuli ingawa tunaujua ukweli kuwa hawezi kurudi na tunalazimika kuishi na hawa tulionao sasa!
Kama ulikuwa mnufaika na ukachezea bahati haiji mara mbili,jiwe is gone no moore
 
Ila ni laana kuwa na mtu kama jpm, tuombe Mungu kwanza ccm itoke halafu tupate rais mpya nje ya ccm.
😀 😀 Huko ndio tutapotea kabisa, hayo magaidi utayapeleka wapi. Heri CCM mara 100,kuliko magaidi wakala wa mabeberu sampuli za Ubelgiji.
 
Hayo ya Uislamu unayajua wewe. Halafu kama unafikiri mimi ni mdada, mtume mkeo aje anitembelee uone kama atakubali kurudi kwako!
 
Mama lazma mumfurahie sababu ya per diem mnazojiandikia daily! Misafari na seminar za upigaji hapo lazma mama ashabikiwe tu!

Na uzuri sio mfuatiliaji wa weledi wa wafanyakazi!
Profesa bodaboda alisema "Bora mtu mjinga kuliko mjinga katili!!! Bora hata mzembe kuliko mwizi mbaguzi"

Profesa Toyo akaongeza "bora nusu pakacha.... bora mvivu kuliko muuaji"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…