Kilawakati
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 328
- 285
FactWewe hauna ubichi wowote ni gubegube tuu maana hakuna msichana mbichi anayetoa papuchi once a year unless una matatizo ya hormone.
Hakuna msichana mbichi anayehangaika kutafuta mume humu, maana wabichi demand zao kubwa mno hawatumii nguvu kubwa kama wewe.
Unforgetable
Huo uchunguzi wa babu yako nina uhakika ulikuwa feki, yaweza kuwa alipitia wanawake ambao wana ivyo vina. Mpe pole sana.,,Babu yangu aliniambia waogope Sana Wanawake wa Mitandaoni.
Wengi Wana Matatizo,, stress ,,
Mixer Kuvurugwa.
Uwezi kuta wana Bikira ata kwa Dawa tena za Mbele na Nyuma Mabaharia Wamezibandua.
K zao nyingi ni Mabwawa kina kirefu naishia hapo..
Hii ni Fact utaki acha.
....Ukitaka kupambana na Mfupa uliomshinda Fisi we Jaribu utatupa matokeo..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna mshindi kwa kweli. Ahahaha mana hakuna mwenye hizo sifa. Ata mie najua hakuna mwenye hizo sifa. Na shindano limefungwa mana limepita muda wake ahahahhh.
Usikariri maisha.,,Babu yangu aliniambia waogope Sana Wanawake wa Mitandaoni.
Wengi Wana Matatizo,, stress ,,
Mixer Kuvurugwa.
Uwezi kuta wana Bikira ata kwa Dawa tena za Mbele na Nyuma Mabaharia Wamezibandua.
K zao nyingi ni Mabwawa kina kirefu naishia hapo..
Hii ni Fact utaki acha.
....Ukitaka kupambana na Mfupa uliomshinda Fisi we Jaribu utatupa matokeo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna huyu Usher-smithAhahab matokeo. Hakuna mshindi bhan. Wote hamna sifa za apo juu
Ahahab matokeo. Hakuna mshindi bhan. Wote hamna sifa za apo juu
Unampigia chapuo huyo!??apewe ushindi wa mezaniKuna huyu Usher-smith
Nimeona comment Yake namna alivyoiandika kwa ustadi na amejibu hoja zako moja baada ya nyingine.
Huyu kwa mtazamo wangu anapaswa kuwa mshindi [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu kusoma comments karibia zote
Nipe update ndugu ua lilikimbia jumla?
Nimechelewa kuuona Uzi wako lakini nimeona mchanganuo mzuri, nami nimeamua kuuchukulia serious, nimefanya kama NECTA.
MAJIBU YANGU
1) Awe na kitambi, ila sio cha pombe. (Mnene)
-Ninacho kidogo cha kitimoto (sinywi pombe) ( 1 Mark)
2)Awe na miaka 29/30
- Nipo nayo ( 1 Mark)
3)Jina lake lianzie na herufi E au F
-Jina la pili linaanza na E [emoji3526](0.5 Mark)
4)Awe amezaliwa August, may, june, July,October
- July ( 1 Mark)
5)Asiwe mkurya, msukuma, muhehe, mluguru, mpogoro, mchaga, Msafwa, mnyakyusa, mrangi wala mnyaturu na mngoni.
-Siyo kati ya Hayo ( 1 Mark)
6) Awe na ndevu za O
- Yes ( 1 Mark)
7)Awe na sura yoyote tu
-Sura ninayo ( 1 Mark)
8)Awe mweusi
- Yes ( 1 Mark)
9)Asiwe dodoma, iringa, Kilimanjaro, moshi, mtwara, tabora, singida, mwanza, arusha, Morogoro, Simiyu, tanga, mbeya, kigoma.
-Sipo huko ( 1 Mark)
10) Asiwe single father
-Sina mtoto ( 1 Mark)
11)Awe tayari kunipeleka kwake kama anajitegemea
- Yes ( 1 Mark)
12)Awe tayari kuwa kwenye urafiki miezi 3, alafu ndiyo kuwa mpenzi
- Yes ( 1 Mark)
13)Awe na sifa ya kushare simu zetu. Yake niishike yangu niishike.
-Yes ( 1 Mark)
14) Awe ni mwenye kwenda kanisani kila wakati hasa hasa jumapili (RC). Avijue vifungu vyote vya biblia.
-Wazazi wangu wote RC, kuhamia huko sio tatizo(mie Lutheran), Biblia naijua, vifungu nitavikariri tu. [emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
(0.5 Mark)
15)Awe anapenda utani
- Big Yessssss [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106] ( 1 Mark)
16) Awe na kazi ya kujitosheleza haswa
- Yes ( 1 Mark)
17)Ambaye ana uvumilivu ata wa kupata papuchi baada ya mwaka.
- Yes (hata tusubiri hadi ndoa poa tu) [emoji3526]. ( 1 Mark)
18) Awe na damu group O
- B+ (Bi mkubwa O) [emoji4] (0.5 Mark)
19) Awe mstaarabu na mpenda maendeleo. Mpole na mwenye kujiheshimu.
-Yes ( 1 Mark)
20)Asiwe amechangia uzi wa kula tunda kimasihara wala za kuwaaibisha wanawake. Asiwe na mazoea na mautani na mdada yoyote wa umu.
-Huo uzi sijawahi hata kuusoma kabisaa, I just scroll down to skip it. (Nenda kaangalie huwezi kuta komenti yangu)
- Sina mazoea na mdada yeyote, I swear [emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488] ( 1 Mark)
21) ID yake iwe ni ya miaka mirefu from 2017 kushuka chini. Wewe wa 2018 kwenda mbele upumzike ulale kidogo.
-Yes.( 1 Mark)
SCORE : 19.5/21 (92.85%)
I came very close to the perfect score of 21
Wachache wanaweza kupata hivi
Siji "pm" hadi unipe "go ahead"
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaha nilitaka mfurahi eti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani umejua kunichekesha jana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata mie nimemshangaa kwa kweli. Ameongeeaaaa utafikiri ananijua nilivyo. Laiti angenilijua nilivyo ata asingeropoka upuuzi wake na wa babu yake ambae alikuwa anatfuna mabwawa tu then akaleta utafiti apa ahahahahUsikariri maisha.
Waliopo mtandaoni Ni hao hao wanaoishi kwenye jamii yako.
Kwani wewe unaishi mtandaoni au unaishi kwenye jamii??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahah huyo kaka sumbai hajampa ushindi ssKuna huyu Usher-smith
Nimeona comment Yake namna alivyoiandika kwa ustadi na amejibu hoja zako moja baada ya nyingine.
Huyu kwa mtazamo wangu anapaswa kuwa mshindi [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila huyu amejitahidi sanaaaa. Kwa kweli nimpe hongera zake. Lkn ss kuna asilimia vichache vichache hakutimizaaaKuna huyu Usher-smith
Nimeona comment Yake namna alivyoiandika kwa ustadi na amejibu hoja zako moja baada ya nyingine.
Huyu kwa mtazamo wangu anapaswa kuwa mshindi [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app