Mwenza bora anahitajika

Mwenza bora anahitajika

Daah, naona umuhimu wa kuwa na wizara ya Mapenzi, Ndoa na mahusiano kabla ya ndoa. Sio kwa masharti haya, serikali inabidi kuingilia kati.
 
Hapana, sifatilii hayo mambo mkuu. Amini ilo. Nadhani unanijua nilivyo.
Tafadhali mkuu mimi sikujui ulivyo.
Kimtokacho mtu ndio kiujazacho moyo wake..
Hujakurupuka kuandika haya
 
Kina E na F mnaitwa huku...
Fadhili
Felix
Faustino
Erick ...vitombist hawa utajuta wewe
Elisha
Eliya
Emmanuel...wapole. Wazinzi wa chini kwa chini
Enoch,
Erasto, Ebenezer, Ezra
Ila mama uko very experienced na majina yenye E
 
Kusema ule ukweli, hivo vigezo ilibidi vitumike wote tukiwa mbinguni[emoji3], ila hapa duniani mmh nimecheka eti ndevu za O, hadi blood group dah, ila kuna wanaofit watakujaa
Ahahahah akitokea anayekidhi aiseeee itabidi nimlete mumuone jinsi vigezo vilivyomfit
 
Ahahahaha yani wewe umetimiza vigezo vyote ivyo mkuu?.
Mkuu yaani vigezo vyote nimepass kasoro hivyo viwili ambapo kwa asilimia ni = ((21-2)21)x100%
=0.9047619048x100%
=90.5%
so nipe chance baby girl
 
Haya mama, all the best, kila kheri kwenye safari yako, hope you meet you soul mate.
Ahahahah ndiyo namsubiria kwa hamu ili nirudi n mrejesho apa. Mana atakuwa amewashinda wotee.
 
Back
Top Bottom