Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu kelvin marcus hata siku moja hatuwezi kuwa competitors.Ndugu mjumbe mbona unataka kuaga mashindano. Wakati wewe ndio kiungo mchezeshaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi saana mkuu mimi mwenyewe namheshimu saana kiongozi Kichwa Kichafu
Yani nyinyiNdugu yangu kelvin marcus hata siku moja hatuwezi kuwa competitors.
Kwa moyo mmoja nitafurahi sana akimpata huyu mrembo pijo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana aisee nitabaki na deni kubwa sana.
Mimi nitagharamia mambo yote ya honeymoon tafadhali ukifanikiwa nijulishe wapi utaenda kupumzika na kimwana.
Safi saana mkuu mimi mwenyewe namheshimu saana kiongozi Kichwa Kichafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu unakosea hapa.
Pia mkuu upepo unakuendea vizuri
wewe Mimi ni nani nikupunguzie point za ushindi
Kura ya mwenyekiti wa kamati kuu na mgombea mwenza zimekudondokea wewe mkuu ...pambania kombe usituangusheSafi saana mkuu mimi mwenyewe namheshimu saana kiongozi Kichwa Kichafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka mwanzo umeshikiria kijiti bado saa moja na dk kadhaa utangazwe rasmi.
Naanza kukupa pongezi kabisa
[emoji134]Umekosea ila Hongera kwa kujaribu.
Next time utalifahamu kwa ukamilifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa michuano kama hii tunawaachia Vijana wenye uhitaji sisi tunabaki kuwa observerKabisa Chief sisi ni Observer tu kama malekani kwenye vita ya Dunia