Mwenza wangu hapendi tendo la ndoa

Wanawake wa hivo wapo mkuu, mi pia niliwahi kua na manzi asiependa migegedano.
 
Itakuwa umem-disappoint kwenye mambo kadha wa kadha!

Itakuwa mmerogwa na mchepuko wako!

Au traumatic stress disorder inayomkabili.
 
Kama kweli anajichua hii itanifanya niwaze zaidi maana kuna wakati napiga muda mrefu hadi ananiomba tupumzike na hakika maandalizi hufanyika kabla. Mitungi niliacha mkuu ila sio siri gambe lilikuwa linaongeza dakika kifuani 🤣
Mtoe 'out' na mlale huko huko angalau kwa siku 2, mjadiliane changamoto zenu. Itaweza kusaidia
 
Mke sio mahari TU, kuwa ukishaambiwa huyo ni mke wako basi imetosha. Kumbuka kuwa hakuna mtu anaeweza kummiliki mtu kama property. Ili mtu umiliki na afanye unavyotaka wewe ufanye lazima ufanye yafuatayo.
1. Uwe na utimamu wa mwili na akili
2. Uwe sehemu yake (furaha na huzuni zake) na akuone hivyo.
3. Fanya mambo kwaajili yake hata kama kwako hayana faida Wala maana, na akuone unafanya hivyo
4. Usitafute haki ni ya nani kati yenu bali tafuta Suluhu ya tatizo lenu.
5.
 
pamoja na yote mliyoongea mnashindwa kujua kama mwanamke anaweza kukosa hamu na pengine kuipoteza kabisa baada ya kujifungua
Binafsi hii hali iliwahi nitokea lakini kwakuwa nina kauelewa kidogo nilijitahidi kuhandle situation na pia mwanaume nilimweleza hali halisi pia kawa najitahidi kula vyakula vizuri na kunywa maji mengi sana
baadae nkaweza kuwa vizuri japo sio kama mwanzo niliongeza utundu zaidi
 
Nakubali
 
Sio
Sio kweli, hiyo itatokea TU Kama mama amepata maumivu ambao amebaki nayo hata baada ya kujifungua, maumivu yanaweza kuwa ya mwili au akili kutokana na kuchanika, uzazi pingamizi, stress au mismanagement ya mwanaume kwenye mchakato nzima wa ujauzito mpaka kujifungua mpaka malezi baada ya kujifungua. Vinginevyo, mama akishaanza kuona siiku zake tena na hamu lazima inarudi tena.
 
hiyo siyo kweli yako inamaanisha suala la kukosa hamu haliwezi kutoka ama unamaana gani?nimeeleza kutokana na situation yangu sijaeleza kutoka story za vijiweni
 
Mkuu
Ingia kwenue maombi kwa sababu kuna dalili kubwa mkeo amekuwa possessed na demonic marriage. Yanamtumia kwenye ulimwengu wa roho bila yeye kujua.

Sali sana kumrejesha
 
Mkeo yuko kwenye siku zake na wewe hujuI..hayo mahusiano yana shida kubwa zaidi ya tendo la ndoa
Hapa ndo Kuna shida, Tena shida kubwa sana yaani hujui kama mkeo ana bleed ama la!
Sijawahi sikia ndo leo.
 
Hapa ndo Kuna shida, Tena shida kubwa sana yaani hujui kama mkeo ana bleed ama la!
Sijawahi sikia ndo leo.
Last week nilikuwa safari nimefika nyumbani Jumapili jioni sikujali uchovu wangu nikaomba mzigo ndio nikajua yupo kwenye siku zake. Hatahivyo siku zake zimevurugika sababu ya matumizi ya dawa za uzazi wa mpango.
 
inawezekana halizishwi na show yako, ndio maana anaona kama unamsumbua, unakela na kumchafua tu.
jitahidi kupiga show ya ukweli mpaka aseme poooo.
na dalili 1 ya kuwa umemkuna kisawasana, ni usingizi,,,ahahahahaaaa!!! ukichomoa tu, lazima asinzie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…