Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Wanawake wa hivo wapo mkuu, mi pia niliwahi kua na manzi asiependa migegedano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye hasemei mademu anaongea kuhusu mkewe mzazi nwenzie.Wanawake wa hivo wapo mkuu, mi pia niliwahi kua na manzi asiependa migegedano.
Mtoe 'out' na mlale huko huko angalau kwa siku 2, mjadiliane changamoto zenu. Itaweza kusaidiaKama kweli anajichua hii itanifanya niwaze zaidi maana kuna wakati napiga muda mrefu hadi ananiomba tupumzike na hakika maandalizi hufanyika kabla. Mitungi niliacha mkuu ila sio siri gambe lilikuwa linaongeza dakika kifuani 🤣
NakubaliUnajua mimi naamini ili tendo linoge, inatakiwa litokee automatically sio mpaka uombe au muweke mipango na kuingia gharama ndio mtu awe kwenye 'mood'..
Mfano mnapoanza mahusiano, hua hamna cha nini wala nini yani mkifika kitandani wote wawili mnakua tayari mpo kwenye mood iwe ni geto, lodge au popote na gemu inakua na ladha balaa.
Gemu ya aina hiyo utaipata tu kwa mpenzi mpya au kwa mchepuko. Kwa mke wa ndoa aisee ni nadra sana..
SioNakubali
Sio kweli, hiyo itatokea TU Kama mama amepata maumivu ambao amebaki nayo hata baada ya kujifungua, maumivu yanaweza kuwa ya mwili au akili kutokana na kuchanika, uzazi pingamizi, stress au mismanagement ya mwanaume kwenye mchakato nzima wa ujauzito mpaka kujifungua mpaka malezi baada ya kujifungua. Vinginevyo, mama akishaanza kuona siiku zake tena na hamu lazima inarudi tena.pamoja na yote mliyoongea mnashindwa kujua kama mwanamke anaweza kukosa hamu na pengine kuipoteza kabisa baada ya kujifungua
Binafsi hii hali iliwahi nitokea lakini kwakuwa nina kauelewa kidogo nilijitahidi kuhandle situation na pia mwanaume nilimweleza hali halisi pia kawa najitahidi kula vyakula vizuri na kunywa maji mengi sana
baadae nkaweza kuwa vizuri japo sio kama mwanzo niliongeza utundu zaidi
hiyo siyo kweli yako inamaanisha suala la kukosa hamu haliwezi kutoka ama unamaana gani?nimeeleza kutokana na situation yangu sijaeleza kutoka story za vijiweniSio
Sio kweli, hiyo itatokea TU Kama mama amepata maumivu ambao amebaki nayo hata baada ya kujifungua, maumivu yanaweza kuwa ya mwili au akili kutokana na kuchanika, uzazi pingamizi, stress au mismanagement ya mwanaume kwenye mchakato nzima wa ujauzito mpaka kujifungua mpaka malezi baada ya kujifungua. Vinginevyo, mama akishaanza kuona siiku zake tena na hamu lazima inarudi tena.
Huyo mkewe ni mwanaume??Yeye hasemei mademu anaongea kuhusu mkewe mzazi nwenzie.
MkuuHabari wakuu,
Leo nakuja na shida yangu hii labda mnaweza kunishauri. Mke wangu hapendi kufanya tendo la ndoa kabisa.
Miezi kadhaa baada ya kuoana alipata ujauzito na tabia hii ndipo nilipoanza kuiona nikajua labda kwasababu ya ujauzito. Alipojifungua na kupumzika mambo ni yale yale, hatufanyi hadi nianze mimi na kuna wakati namuomba anasema hayuko vizuri siku hiyo inapita kavu.
Nimewahi kumuuliza kwanini hajisikii, hana jibu zaidi ya kujibaraguza tu na kuacha lipite. Mwanzo wa ndoa aliwahi kuanzisha kuomba game nadhani alikuwa anatimiza funzo la somo ila kwa sasa daah!... Yani nikikaa kimya mimi hata mwezi unaisha bila kufanya lolote.
Kuna wakati nahisi kama nambaka maana naomba omba kila wakati alafu mwenzangu hana muitikio. Hapa naandika uzi huu amejilaza mwenyewe hana habari wakati tangu jumapili niliomba mchezo akanambia yupo kwenye siku zake hadi leo hata hashtuki kwamba naweza kupata tamaa ya kuchepuka.
Najiuliza ndivyo alivyoumbwa, anachepuka, ana jini mahaba au anajichua? Maana kuna siku nilimuona kama anaweweseka kitandani niliponyanyuka akashtuka sana.
Naomba maoni yenu kiutuuzima bila kejeli tafadhali.
Hapa ndo Kuna shida, Tena shida kubwa sana yaani hujui kama mkeo ana bleed ama la!Mkeo yuko kwenye siku zake na wewe hujuI..hayo mahusiano yana shida kubwa zaidi ya tendo la ndoa
Hapa ndo Kuna shida, Tena shida kubwa sana yaani hujui kama mkeo ana bleed ama la!
Sijawahi sikia ndo leo.
Last week nilikuwa safari nimefika nyumbani Jumapili jioni sikujali uchovu wangu nikaomba mzigo ndio nikajua yupo kwenye siku zake. Hatahivyo siku zake zimevurugika sababu ya matumizi ya dawa za uzazi wa mpango.
inawezekana halizishwi na show yako, ndio maana anaona kama unamsumbua, unakela na kumchafua tu.Habari wakuu,