Mwenza wangu hapendi tendo la ndoa

Mwenza wangu hapendi tendo la ndoa

Kumbe mpaka uombe,unamgusa tu kuonyesha ishara kuwa sasa ni wakati wa vita,akikaa sawa unafanya shambulizi,we vipi bhana.Wenzio ukikataliwa huo usiku hakuna kulala,ukimuona anasinzia tu unamtikisa,akishaona sasa imefika saa 8 na hujakata tamaa lazima achaguwe kati ya mawili,aendelee kutikiswa mpaka kukuche au akupe haki yako...
Hii ni kwa wakubwa tu niliposema kuomba walikuwa wameshajua namaanisha nini. Kuomba si lazima useme kwa sauti
 
Alikuwa amelala chali (cha mende) kakunja miguu na kuitanua kajifunika lakini hakuwa na utulivu, niliponyanyuka kuangalia vizuri aliwahi kushtuka. Niliwaza aidha ni wachawi wanakula mzigo au jini mahaba lakini kitendo cha kushtuka kwake haraka kilinifanya niamini labda pia alikuwa anajichua
Kuna uwezekano akawa anajichua; jitahidi uwe unampa shoo ya uhakika, angalau ya dk 30; leo jioni jifanye umelewa, kama huwa unakunywa pombe, kunywa;na kabla ya kunywa hakikisha umepata chakula cha kukupa nguvu.
Usiombe penzi kwa mdomo, tumia vitendo tu.
 
Ndg yangu iko hivi;
1. Ujitahidi sana wewe na mpenzi wako mbadilishe mazingira. Hii huleta afya ya mapenzi. Ikiwa mnaishibpamoja hata mara moja kwa mwaka jipinde mpeleke hotelini mlale huko au mshinde huko jioni mrudi home. Kitendo cha kubadili mazingira atakupa yote yote.

2. Wanawake tumepewa na Mungu na sio wagumu kama tunavyokuza bali wanahitaji uwa win mioyo yao kila wakati. Sisi ndio madereva hakikisha kwenye barabara mbovu pitisha gari taratibu...

3. Ni kweli huwezi kamwe kutimiza kila kitu bali unaweza kuipindua hoja yake kwa ushawishi...tumia ulimi vizuri sio kwa kunyonya kei tu bali kwa kusema naye mbona ni warahisi tu kukubali?
ULIMI!!
Umenikumbusha nilimchapa kerebu kadhaa baadaye nilijitetea na alikubali kuachia gem tena baada ya muda mfupi.Nilitumia maneno na vitendo!
 
Nyie wanaume ambao hamtaki kuchepuka mna shida Sana Kwa kweli. Ungekuwa na mchepuko wala usingelalamika
 
Point ya kwanza nakutana na hoja za msingi sana, asante sana mkuu.
Kwenye kumridhisha sina shida labda niongeze mbinu za kumfikisha maana nguvu za kiume si tatizo kwangu.

Kuna jambo pia hapa umenifumbua, ukweli sasaivi nimeyumba kidogo kiuchumi. Nilikuwa na tabia ya kumpa kiasi cha pesa kila mwezi kwa matumizi yake binafsi lakini kwa sasa nimepunguza kiwango na kuna mwezi unapita bila bila na hili la kumtoa out naona ni muhimu pia nitalifanyia kazi asipobadilika nafata hatua ya mwisho NATAFUTA
Mkuu hyo utakayotumia kulipia logde, misosi, na kumpa mchepuko utakaye mtafta we mpe mkeo arudi kwenye hali yake ya mwanzo. Michepuko syo dili
 
Kingine kumbuka kwenye nyuzi kama hizi watu wengi hua hawasemi ukweli wa tatizo lilipo, hasa hasa wanawake wanapenda kuji defend na kuhamishia tatizo kwa mwanaume kwamba ooh hanibembelezi, ooh hanitoi out, ooh hanipi zawadi nk.

Ila kiukweli wanawake hua wanaanza kukinai sex mapema sana kuliko wanaume na hiyo ni nature yao. We ukitaka kuthibitisha jaribu kukumbuka mwanzo kabisa wakati mnaanza mahusiano unakuta mwanamke ukiingia nae chumbani hata hujamshika ameshaloa chepechepe. Ishi nae ndani sasa, miezi miwili mitatu unashangaa unamuandaa lisaa ila bila kupaka mate mzigo hauzami.
Haya Mate si ndio wataalamu wamekataza yasitumike tena mkuu?
 
Aisee pole sana, Mimi mwenyewe napitia changamoto hiyo, wanawake wamekuwa wanatumia kutunyima papuchi kama sehemu ya kutuadhibu wanapopata hasira
 
Wanawake wakiolewa huwa wana tabia ya kuridhika na kuacha kutimiza mambo muhimu kama hayo.

Pili wanawake huwa wanakosa hisia ikiwa huwatimizii mahitaji yao..je hili likoje?.

Tatu ikiwa umeyumba kiuchumi pia huwa wanatabia kama hiyo...muda mwingi wanawaza na kuwa na stress.

Jambo muhimu..hebu jaribu kumtoa out, hakikisha anakula chochote na kunywa chochote akitakacho, uone mkirudi nyumbani kama atakunyima.
Mara nyingine wanaume tuwe wabunifu kwa hawa viumbe...miili yao husinyaa kwa vitu vidogo lkn pia huchangamka kwa vitu vidogo vya ubunifu.

ikishindikana👇👇👇

Kaa naye mweleze unavyojisikia...na umuonye kuwa tabia hiyo ikiendelea itakulazimu utafute. mwanamke mwingine.

Evelyn Salt TIA NENO HAPA PIA
Kweli kabisa hili
 
Kuna uwezekano akawa anajichua; jitahidi uwe unampa shoo ya uhakika, angalau ya dk 30; leo jioni jifanye umelewa, kama huwa unakunywa pombe, kunywa;na kabla ya kunywa hakikisha umepata chakula cha kukupa nguvu.
Usiombe penzi kwa mdomo, tumia vitendo tu.
Kama kweli anajichua hii itanifanya niwaze zaidi maana kuna wakati napiga muda mrefu hadi ananiomba tupumzike na hakika maandalizi hufanyika kabla. Mitungi niliacha mkuu ila sio siri gambe lilikuwa linaongeza dakika kifuani 🤣
 
Be romantic, safisha kinywa, oga, nukia, fanya maozi, chati nae ukiwa kazini kimahaba mpapase na mbusu everytime unapokuwa nae,mhame kidogo safiri,then pima upepo
Upande huo sipo vibaya sana naweza sema nipo smart zaidi yake, nilioa mke wa kawaida sana. Labda niongeze mahaba maana hii hali ya kumchukulia wa kawaida inanifanya nisiwe romantic kwake sometime.
 
Hamna cha formula wala nini ndugu yangu. Kama wewe kuna formula ambayo inafanya kazi kwa mke wako, wewe shukuru Mungu na usidhani itafanya kazi kwa mke wangu pia.
Kaka ndoa haitaki mazoea, epuka mazoea na mkeo, kitabia Baki kama alivyokukuta na yeye abaki kama ulivyomkuta
 
Back
Top Bottom