Mwenza wangu hapendi tendo la ndoa

Mwenza wangu hapendi tendo la ndoa

Sasa hii id nikiona inacomment kwenye post za watu wenye ushababi wao.. ntaona kama mbu anapita kwenye sikio tu.
Ntu Nzima unaandika ujinga Ntupu...
Nilitamani sana huu uzi wachangie watu wazima wenye uelewa na mambo haya bahati mbaya hakuna jinsi ya kuwazuia wenye mambo ya kitoto kama wewe. Uko huru kusema lolote
 
Tatizo dogo Kama hili unalileta hapa mjukuu wangu?
Kwa kuanzia fanya hivi...
Kila simu yako ikiita ichukue fasta ukaongee ukiwa nje au mbali na wife.
Chelewa kurudi.
Thank me later
Asante sana mkuu nisingesema nisingejua hili 😀 Hapa kuna usiri wake mkuu ndomana tunafunguka mambo kama haya, ukipeleka mtaani jambo kama hili basi utarajie kutangazwa na vijana kuanza kumfukuzia mkeo kujaribu mzigo ukitiki kwao basi umekwisha.
 
Mke wako kama anatumia implant (kijiti cha mkononi) kwa ajili ya uzazi wa mpango mwambie akijtoe kwan sometimes huwa kina suppress libido kwa wanawake. Kile kipindi cha ujauzito alipokuwa hana hamu shida ilikuwa ni ys ki- hormone, so tafuta cause mzee, usimlaumu bure
Nimeona umuhimu wa kufunguka hapa japokuwa kuna changamoto ya watoto kuvamia uzi na kuleta kejeli naona kabisa mwanga, asante sana mkuu. Ni kweli alikuwa na vijiti ametoa mwaka huu baada ya muda wake kuisha sasaivi anatumia vidonge
 
Point ya kwanza nakutana na hoja za msingi sana, asante sana mkuu.
Kwenye kumridhisha sina shida labda niongeze mbinu za kumfikisha maana nguvu za kiume si tatizo kwangu.

Kuna jambo pia hapa umenifumbua, ukweli sasaivi nimeyumba kidogo kiuchumi. Nilikuwa na tabia ya kumpa kiasi cha pesa kila mwezi kwa matumizi yake binafsi lakini kwa sasa nimepunguza kiwango na kuna mwezi unapita bila bila na hili la kumtoa out naona ni muhimu pia nitalifanyia kazi asipobadilika nafata hatua ya mwisho NATAFUTA

Kwa utafiti wangu na uzoefu nimejifunza kuwa wanawake/mpenzi huwa nafuraha sana akiwa na uhakika kuwa me una pesa sio za mawazo na kila anachohitaji unatimiza kwa wakati. Na ukiwa katika wakati huu wao huona shukrani pekee ni kukuvulia kila wakati hata usipohitaji.
Ukitaka kuwajua rangi zao wewe ishiwa au jifanye huna kitu.

Ukiwa nazo huwa wanawake hata wasio wapenzi wako hujipitisha sana na wako tayari kwa lolote tena unaweza hata kutongozwa.

Wanawake ambao wako radhi nawe na hawatikiswi na kuyumba kwako kiuchumi walikufa enzi za Elnino mkuu wangu.

Siku hizi tunauziwa hata na wake/ wapenzi wetu mkuu japo ni mauzo ya akili sana mtu wangu.

Kama umeyumba kama ulivyokiri basi hakikisha hata vizawadi vidogo vidogo hata kyupi😄😄😄 uwe unamletea..
 
mwanamke akishazaa vitu vingi vinabadilika sana wachache waliojalia hawaangukii hapa kwenye mabadiliko ya kimaumbile ile hamu inakata ongezea na njia za uzazi wa mpango ndo kabisa.
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Mi nnachoona ni kwamba wanawake mkishaolewa baada ya mda mnawakinai waume zenu, na sio kwamba ni hamu ya tendo inakata. Vingi vinavyosemwa hapa sijui matunzo, zawadi, outing ni visingizio tuu.

Ndio maana wake za watu wanaongoza kuliwa sana nje ni kwamba hamu ya tendo ipo, ila sio kwa mume wake.
 
Mkuu pole lakini jitahidi kuongeza utundu na ujuzi wako. Inawezekana anachoka na huduma hafifu kwenye huo mchezo manake wanaume wengi mkishaoa basi maandaliz kwa mke yanakua zero unataka ukishika sekunde tu uchomeke mkuyenge umwage. Jambo ambalo linawakera wanawake wengi sana.

Jitahidi pia kumtimizia mahitaji mengine na pia hata kumtoa out kwenye viwanja vipya mechi huchezwa vizuri sana
Sawa mkuu wacha niongeze juhudi japokuwa kuhusu kumuandaa nipo vizuri huwa namuandaa hadi anasema mwenyewe 'basi weka baba'. Issue ya kamoja na kualala sipo hivyo, wakati nalewa nilikuwa nachelewa sana kumwaga cha kwanza lakini nilikuwa siwezi kuendelea muda huo hadi nipumzike kidogo. Sasaivi nimeacha pombe la kwanza nawahi sana lakini najitahidi hasa akinipa ushirikiano narudi tena fasta round ya pili hapa huwa nachelewa sana hadi ananiomba tupumzike kidogo. Na maranyingi huwa namuuliza kama amefika kabla ya kulala
 
Sawa mkuu wacha niongeze juhudi japokuwa kuhusu kumuandaa nipo vizuri huwa namuandaa hadi anasema mwenyewe 'basi weka baba'. Issue ya kamoja na kualala sipo hivyo, wakati nalewa nilikuwa nachelewa sana kumwaga cha kwanza lakini nilikuwa siwezi kuendelea muda huo hadi nipumzike kidogo. Sasaivi nimeacha pombe la kwanza nawahi sana lakini najitahidi hasa akinipa ushirikiano narudi tena fasta round ya pili hapa huwa nachelewa sana hadi ananiomba tupumzike kidogo. Na maranyingi huwa namuuliza kama amefika kabla ya kulala
😀 😀 😀 😀mwanamke haulizwi kama amefikaaa... utamuona tuu sema mwanamke uchawi hela na kingine mwanaume huwezi kuwa na hela muda wote so kuwa na mwanamke anaekupenda na kukuelewa.
 
Vijana mnakariri vibaya, mwanamke akikosa furaha ys moyo mambo ya kukojoleshwa ni hadithi za abunuasi.

-Jifunzeni kumpa maneno mazuri mwanamke.

- Toa out nzuri mara moja moja.

- msikilize na jadilianeni mambo yenu pamoja.

- ukiwa na uwezo mpe anachohitaji.

Kukojolesha ni hatua ya mwisho kabisa wakati moyo wake umeridhia kupanua mapaja kwa ridhas na fura.
Evelyn Salt njoo ujazie mwalimu wangu
Kuna madini ya maana sana nakutana nayo hapa leo, nashukuru sana mkuu na pia najishukuru kwa kupata ujasiri wa kupost uzi huu
 
It aint normal when sex drive is low...

Bahati mbaya huyo mwanamama haoneshi ushirikiano kwa jamaa, kujaribu kutafuta utatuzi kwa pamoja...
Hili nalo pia jambo la msingi, nafikiri kama anaona kuna changamoto upande wangu zinazomsababishia haya ni vizuri angefunguka pia.
 
Yani nyumbani hamna kero ndogo ndogo, kila kitu kipo levo??? Atateleza hadi aseme basi dada sitaki tena uchhhh niache nipumue
Ungekuwa mke wangu walahi nisingechepuka kamwe. Nikipewa k kwa upendo huwa nafurahi kupita maelezo na chochote utakacho utapata
 
Mimi naomba kuuliza tu huyo mkeo ni kabila gani?

Je ana historia yoyote ya kufanyiwa unyanyasaji wa kijinsia kabla hamjaoana?
Wazazi wake wote walifariki akiwa mdogo sana amelelewa na kaka yake mkubwa, sina historia yake ya unyanyasaji wa kijinsia labda nichunguze hili.
 
Mkeo yuko kwenye siku zake na wewe hujuI..hayo mahusiano yana shida kubwa zaidi ya tendo la ndoa
Last week nilikuwa safari nimefika nyumbani Jumapili jioni sikujali uchovu wangu nikaomba mzigo ndio nikajua yupo kwenye siku zake. Hatahivyo siku zake zimevurugika sababu ya matumizi ya dawa za uzazi wa mpango.
 
Nimeona umuhimu wa kufunguka hapa japokuwa kuna changamoto ya watoto kuvamia uzi na kuleta kejeli naona kabisa mwanga, asante sana mkuu.
Kingine kumbuka kwenye nyuzi kama hizi watu wengi hua hawasemi ukweli wa tatizo lilipo, hasa hasa wanawake wanapenda kuji defend na kuhamishia tatizo kwa mwanaume kwamba ooh hanibembelezi, ooh hanitoi out, ooh hanipi zawadi nk.

Ila kiukweli wanawake hua wanaanza kukinai sex mapema sana kuliko wanaume na hiyo ni nature yao. We ukitaka kuthibitisha jaribu kukumbuka mwanzo kabisa wakati mnaanza mahusiano unakuta mwanamke ukiingia nae chumbani hata hujamshika ameshaloa chepechepe. Ishi nae ndani sasa, miezi miwili mitatu unashangaa unamuandaa lisaa ila bila kupaka mate mzigo hauzami.
 
Ujue ASILIMIA kubwa ya wanawake libido Yao (nyege zao) automatically ziko chini sana kulinganisha na sisi wanaume.

Wengi wa kabla ya ndoa,
Hutoa penzi Kama Njia ya kukutuliza ili kuipata ndoa na kujihakikishia maisha.

Wakishaolewa,
wakawa na uhakika wa kula na kulala vizur
Attention yote na upendo wote huelekea kwa watoto wao.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom