Memtata
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 587
- 1,863
- Thread starter
- #121
Nilitamani sana huu uzi wachangie watu wazima wenye uelewa na mambo haya bahati mbaya hakuna jinsi ya kuwazuia wenye mambo ya kitoto kama wewe. Uko huru kusema loloteSasa hii id nikiona inacomment kwenye post za watu wenye ushababi wao.. ntaona kama mbu anapita kwenye sikio tu.
Ntu Nzima unaandika ujinga Ntupu...