Palina
JF-Expert Member
- Oct 9, 2021
- 3,551
- 9,522
Mkuu kumbe unao wengiKuwa na mwanamke mmoja ni ulemavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kumbe unao wengiKuwa na mwanamke mmoja ni ulemavu
Sasa wairoga michepuko ya nini jamani....wee unatakiwa ushukuru kuwa wanakupunguzia idadi ya magoli unayofungwa na mumeo😅😅😅😅😅😅unatak michepuko ya watu ikarogwe
Poa pau ujambo? Wee utawaroga michepuko wa mumeo kweli?mqmbo bro mzabzab
salama mkuuPoa pau ujambo? Wee utawaroga michepuko wa mumeo kweli?
😀 😀 😀 😀 😀Daaa wew ndo kibokoo... Mwanamke ndani ya ndoa akishaanza kutumia uchi kama silahaa ya kukucontrol na kukufanya ufanye anayoyataka umekwishaaa...Kumbe mpaka uombe,unamgusa tu kuonyesha ishara kuwa sasa ni wakati wa vita,akikaa sawa unafanya shambulizi,we vipi bhana.Wenzio ukikataliwa huo usiku hakuna kulala,ukimuona anasinzia tu unamtikisa,akishaona sasa imefika saa 8 na hujakata tamaa lazima achaguwe kati ya mawili,aendelee kutikiswa mpaka kukuche au akupe haki yako...
Watu wengi wameongea mengi lakini kama mwanamke chukua hili pia wanaume na mwanamke Mungu ametuumba tofauti sana nasema sana.Wanawake hatuna asili ya kuanza kutaka kufanywa.
Asili yetu ni kubembelezwa, kushikwa kuambiwa maneno mazuri tunaishia kuliwa.
Kama huna mpango na marriage sii uje basi tuwe wapenzi...yaani sie ni kugegeduana na kusafiri tuusalama mkuu
Sina mpango na marriage ikitokea akawa nao awe nao tu
Amen....Hakiyanani!! Maisha bila tendo si kamilifu
Bora kunyimwa chakula sio kunyimwa utelezi.,inakeraUkizungumzia uvivu hili linaweza kuwa na ukweli kwa asilimia 1OO% na hili ni kero kweli.
Yani nyumbani hamna kero ndogo ndogo, kila kitu kipo levo??? Atateleza hadi aseme basi dada sitaki tena uchhhh niache nipumueHivi wewe kweli unaweza kosa hamu ya kuliwa na mume ambaye ametoa mahari kwenu na mkakubaliana kulala uchi pamoja mbele ya mashahidi?
Point ya kwanza nakutana na hoja za msingi sana, asante sana mkuu.Wanawake wakiolewa huwa wana tabia ya kuridhika na kuacha kutimiza mambo muhimu kama hayo.
Pili wanawake huwa wanakosa hisia ikiwa huwatimizii mahitaji yao..je hili likoje?.
Tatu ikiwa umeyumba kiuchumi pia huwa wanatabia kama hiyo...muda mwingi wanawaza na kuwa na stress.
Jambo muhimu..hebu jaribu kumtoa out, hakikisha anakula chochote na kunywa chochote akitakacho, uone mkirudi nyumbani kama atakunyima.
Mara nyingine wanaume tuwe wabunifu kwa hawa viumbe...miili yao husinyaa kwa vitu vidogo lkn pia huchangamka kwa vitu vidogo vya ubunifu.
ikishindikana👇👇👇
Kaa naye mweleze unavyojisikia...na umuonye kuwa tabia hiyo ikiendelea itakulazimu utafute. mwanamke mwingine.
Evelyn Salt TIA NENO HAPA PIA
nimecheka sana😅😅😅😅😅😅Kama huna mpango na marriage sii uje basi tuwe wapenzi...yaani sie ni kugegeduana na kusafiri tuu
Sawa mkuu, well noted 😛Jifunze mbinu thabiti za kumkojolesha huyo mke wako,
Mwanamke ukimchakata vyema ukamfikisha kileleni kamwe hawezi vunga linapokuja swala la kunyanduana, tena wao ndio huwa wanahitaji mara kwa mara
Kingine mhudumie vizuri mkeo(fweza=matunzo)
Ah sasa mbona wanichocha alafu wanibwaga?nimecheka sana😅😅😅😅😅😅
nakusalimia bro
uwe na very good day 😘😘
Alikuwa amelala chali (cha mende) kakunja miguu na kuitanua kajifunika lakini hakuwa na utulivu, niliponyanyuka kuangalia vizuri aliwahi kushtuka. Niliwaza aidha ni wachawi wanakula mzigo au jini mahaba lakini kitendo cha kushtuka kwake haraka kilinifanya niamini labda pia alikuwa anajichuaAlikuwa anaweweseka kivipi?
Wanaokejeli hawajui mambo ya ndoa ndomana nilisisitiza maoni ya kiutuuzima na hekima, asante sana mkuu hii shida ni kubwa sana kwenye ndoaUmeandika jambo la msingi sana japo wengine wanaleta mizaha,lkn kwa wengi tulio ktk ndoa hili ni la kawaida sana...nadhani pia kwa kiasi kikubwa limechangia wanaume wengi kuchepuka japo si wote
Wanawake kabla hajaolewa hutamani sana ndoa na kipindi hicho hutamani sana mara kwa mara mpate chance mjiibe yaani mkiwa wachumba
Mkishaoana shida inakujaga kuanza akisha zaa moto baasi uvivu huanzia hapo,akiongeza wapili,watatu baasi kitandani ni mwendo wa kukimbiana na sababu nyingi za nimechoka,kesho nawahi kuamka nk...wakubwa wanasema mapenzi huamia kwa watoto
Hapa kimi ndipo nilipokuja gundua kwanini baadhi ya imani mwanaume huruhusiwa kuoa hadi wanne.
Ina maana toka enzi za mitume shida hii ilikuwepo...wakaona isiwe taabu,maana enzi hizo ukchepuka unauliwa....ikawa dawa ni kuongeza jiko...which is right lkn sikushauri ufanye hivyo.
Tuishi nao tu ndg tulee watoto...