Mwenza wangu hapendi tendo la ndoa

Mwenza wangu hapendi tendo la ndoa

Hayo yote mfanyie lakini kama humtoshelezi ni kazi bure. Humkojoleshi mara mbili Kaa mbali hasa anapokuwa na aliyewahi kumkojolesha
Kumkojolesha hilo ni swala lake na saikolojia yake. Wanawake ni wepesi sana kukojoa pale anapokuwa amekupenda na unampatia mahitaji yake japokuwa kuna exceptions za wenye matatizo kwenye ubongo wao. Hao ndo wanaua figo za wanaume kwa madawa ili wapigwe bao 8 kila wiki na ukikutana na wa hivyo achana nae usikazane utakufa before 60.
 
Mkuu pole lakini jitahidi kuongeza utundu na ujuzi wako. Inawezekana anachoka na huduma hafifu kwenye huo mchezo manake wanaume wengi mkishaoa basi maandaliz kwa mke yanakua zero unataka ukishika sekunde tu uchomeke mkuyenge umwage. Jambo ambalo linawakera wanawake wengi sana.

Jitahidi pia kumtimizia mahitaji mengine na pia hata kumtoa out kwenye viwanja vipya mechi huchezwa vizuri sana
Mkongwe mwenzangu hujawahi kuniangusha hata!
 
Tatizo dogo Kama hili unalileta hapa mjukuu wangu?
Kwa kuanzia fanya hivi...
Kila simu yako ikiita ichukue fasta ukaongee ukiwa nje au mbali na wife.
Chelewa kurudi.
Thank me later
Mbinu na kigaidi
 
Kumkojolesha hilo ni swala lake na saikolojia yake. Wanawake ni wepesi sana kukojoa pale anapokuwa amekupenda na unampatia mahitaji yake....
..na penzi lenu ni jipya au la wizi, hapo mwanamke atakojoa mpaka ubongo.

Ila cha ajabu ni kwamba mwanamke kadri unavyokaa nae ndio rate ya kukojoa inavyopungua. Inafika mahali hata umuandae vipi, upige mashine kiasi gani mwisho wa gemu 1-0.
 
Ni Kweli, ila ukibadilisha mazingira kidogo inabadilika.
Mfano mmekaa mwezi/miezi bila tendo halafu ghafla weekend mkatoka mkasafiri kwa mapumziko mkalala hoteli nzuri siku hiyo atakojoa vzur kweli.
 
Habari wakuu,

Leo nakuja na shida yangu hii labda mnaweza kunishauri. Mke wangu hapendi kufanya tendo la ndoa kabisa.

Miezi kadhaa baada ya kuoana alipata ujauzito na tabia hii ndipo nilipoanza kuiona nikajua labda kwasababu ya ujauzito. Alipojifungua na kupumzika mambo ni yale yale, hatufanyi hadi nianze mimi na kuna wakati namuomba anasema hayuko vizuri siku hiyo inapita kavu.

Nimewahi kumuuliza kwanini hajisikii, hana jibu zaidi ya kujibaraguza tu na kuacha lipite. Mwanzo wa ndoa aliwahi kuanzisha kuomba game nadhani alikuwa anatimiza funzo la somo ila kwa sasa daah!... Yani nikikaa kimya mimi hata mwezi unaisha bila kufanya lolote.

Kuna wakati nahisi kama nambaka maana naomba omba kila wakati alafu mwenzangu hana muitikio. Hapa naandika uzi huu amejilaza mwenyewe hana habari wakati tangu jumapili niliomba mchezo akanambia yupo kwenye siku zake hadi leo hata hashtuki kwamba naweza kupata tamaa ya kuchepuka.

Najiuliza ndivyo alivyoumbwa, anachepuka, ana jini mahaba au anajichua? Maana kuna siku nilimuona kama anaweweseka kitandani niliponyanyuka akashtuka sana.

Naomba maoni yenu kiutuuzima bila kejeli tafadhali.
Mke wako anafanya kazi wapi mkuu ?! Hizo ngebe wanakuanazo wanawake "masupawumani"
 
Ni Kweli, ila ukibadilisha mazingira kidogo inabadilika.
Mfano mmekaa mwezi/miezi bila tendo halafu ghafla weekend mkatoka mkasafiri kwa mapumziko mkalala hoteli nzuri siku hiyo atakojoa vzur kweli.
Changamoto inakuja sasa kwa maisha ya mtanzania wa kawaida, mtakua mnatoka kwenda hoteli nzuri mara ngapi? Na kama mke wako ni mpaka umpeleke hotelini ndio akojoe,
 
Wadau wanaomsema mtoa mada labda atakuwa amridhishi mkewe watakuwa wanakosea mkiingia kwenye ndoa yani ni mwili mmoja kama aridhishwi alitakiwa kumwambia mumewe na kwa upole na jamaa angeelewa aongeze nini mwanamke anayemuacha mume au mchumba wake kisa amridhishi uyo ni mweu inatakiwa mkae pamoja mjadili tatizo ni nini na mlipatie ufumbuzi kwa pamoja
 
Changamoto inakuja sasa kwa maisha ya mtanzania wa kawaida, mtakua mnatoka kwenda hoteli nzuri mara ngapi? Na kama mke wako ni mpaka umpeleke hotelini ndio akojoe,
Ni changamoto kweli sababu ya gharama. Ila mara nyingi mkitoka hata mkirudi huwa harudi mwanzo inamchukua muda kurudi kwenye hali ya kutokukojoa. Hata kama kila mwaka mnatoka mara moja au mbili. Halafu hapo katikati kuna events huwa zinamrudisha mchezoni kama mmeenda kwenye party/harusi ya rafiki mkaenjoy, J2 fulani umemchanganyia kawine kwenye kinywaji wakati hajazoea n.k. NDOA NI KAZI MAANA KUKAA NA BINADAMU MMOJA MIAKA NA MIAKA NI YEYE TU LAZIMA MCHOKANE.
 
Unajua mimi naamini ili tendo linoge, inatakiwa litokee automatically sio mpaka uombe au muweke mipango na kuingia gharama ndio mtu awe kwenye 'mood'..

Mfano mnapoanza mahusiano, hua hamna cha nini wala nini yani mkifika kitandani wote wawili mnakua tayari mpo kwenye mood iwe ni geto, lodge au popote na gemu inakua na ladha balaa.

Gemu ya aina hiyo utaipata tu kwa mpenzi mpya au kwa mchepuko. Kwa mke wa ndoa aisee ni nadra sana..
 
Ushauri wa bure: ili mwanaume uishi kwa amani na furaha kwenye ndoa ni vyema ukawa na michepuko miwili visu kweli kweli alafu hakikisha mkeo anawajua hao michepuko na pia anatambua kuwa yeye ndio number one priority basi.
Wew huyo😂😂😂
 
Back
Top Bottom