Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Piga chini, maisha yafaa nini bila tendo.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana mnakariri vibaya, mwanamke akikosa furaha ys moyo mambo ya kukojoleshwa ni hadithi za abunuasi.Jifunze mbinu thabiti za kumkojolesha huyo mke wako,
Mwanamke ukimchakata vyema ukamfikisha kileleni kamwe hawezi vunga linapokuja swala la kunyanduana, tena wao ndio huwa wanahitaji mara kwa mara
Kingine mhudumie vizuri mkeo(fweza=matunzo)
Its normal!
Umemaliza japo haya mambo practically hayapo...yapo kimaandishi tu😂😂😂Vijana mnakariri vibaya, mwanamke akikosa furaha ys moyo mambo ya kukojoleshwa ni hadithi za abunuasi.
-Jifunzeni kumpa maneno mazuri mwanamke.
- Toa out nzuri mara moja moja.
- msikilize na jadilianeni mambo yenu pamoja.
- ukiwa na uwezo mpe anachohitaji.
Kukojolesha ni hatua ya mwisho kabisa wakati moyo wake umeridhia kupanua mapaja kwa ridhas na fura.
Evelyn Salt njoo ujazie mwalimu wangu
Wanawake wengine wavivu tu hamna hata cha unyanyasaji...Mimi naomba kuuliza tu huyo mkeo ni kabila gani?
Je ana historia yoyote ya kufanyiwa unyanyasaji wa kijinsia kabla hamjaoana?
Huenda Kuna mwenzakoHabari wakuu,
Leo nakuja na shida yangu hii labda mnaweza kunishauri. Mke wangu hapendi kufanya tendo la ndoa kabisa.
Miezi kadhaa baada ya kuoana alipata ujauzito na tabia hii ndipo nilipoanza kuiona nikajua labda kwasababu ya ujauzito. Alipojifungua na kupumzika mambo ni yale yale, hatufanyi hadi nianze mimi na kuna wakati namuomba anasema hayuko vizuri siku hiyo inapita kavu.
Nimewahi kumuuliza kwanini hajisikii, hana jibu zaidi ya kujibaraguza tu na kuacha lipite. Mwanzo wa ndoa aliwahi kuanzisha kuomba game nadhani alikuwa anatimiza funzo la somo ila kwa sasa daah!... Yani nikikaa kimya mimi hata mwezi unaisha bila kufanya lolote.
Kuna wakati nahisi kama nambaka maana naomba omba kila wakati alafu mwenzangu hana muitikio. Hapa naandika uzi huu amejilaza mwenyewe hana habari wakati tangu jumapili niliomba mchezo akanambia yupo kwenye siku zake hadi leo hata hashtuki kwamba naweza kupata tamaa ya kuchepuka.
Najiuliza ndivyo alivyoumbwa, anachepuka, ana jini mahaba au anajichua? Maana kuna siku nilimuona kama anaweweseka kitandani niliponyanyuka akashtuka sana.
Naomba maoni yenu kiutuuzima bila kejeli tafadhali.
Wanawake wengine wavivu tu hamna hata cha unyanyasaji...
Yanaishi ndg yanguUmemaliza japo haya mambo practically hayapo...yapo kimaandishi tu😂😂😂
Hivi wewe kweli unaweza kosa hamu ya kuliwa na mume ambaye ametoa mahari kwenu na mkakubaliana kulala uchi pamoja mbele ya mashahidi?Umemaliza japo haya mambo practically hayapo...yapo kimaandishi tu😂😂😂
Wanawake wengine wavivu tu hamna hata cha unyanyasaji...
Bro. Kula kiapo na hisia za mwili ni vitu viwili tofauti.Hivi wewe kweli unaweza kosa hamu ya kuliwa na mume ambaye ametoa mahari kwenu na mkakubaliana kulala uchi pamoja mbele ya mashahidi?
Iko hiviii, wewe sio wa kwanza kutembea nae, yaani yeye anayo gold standard ya sex, kupendwa, na kuthaminiwa ambayo wewe huna, hujamfikisha, yaani Kuna mtu anamfikiria zaidi kuliko wewe, humalizi nyege zake zote kama yule. Hiyo ni kwanza, pili inawezekana wakati wa ujauzito amepimwa akakutwa na ugonjwa Fulani wa kuambukizwa, tatu anakuhisi unatembea na wengine au amegundua unamdanganya au ulimdanganyaHabari wakuu,
Leo nakuja na shida yangu hii labda mnaweza kunishauri. Mke wangu hapendi kufanya tendo la ndoa kabisa.
Miezi kadhaa baada ya kuoana alipata ujauzito na tabia hii ndipo nilipoanza kuiona nikajua labda kwasababu ya ujauzito. Alipojifungua na kupumzika mambo ni yale yale, hatufanyi hadi nianze mimi na kuna wakati namuomba anasema hayuko vizuri siku hiyo inapita kavu.
Nimewahi kumuuliza kwanini hajisikii, hana jibu zaidi ya kujibaraguza tu na kuacha lipite. Mwanzo wa ndoa aliwahi kuanzisha kuomba game nadhani alikuwa anatimiza funzo la somo ila kwa sasa daah!... Yani nikikaa kimya mimi hata mwezi unaisha bila kufanya lolote.
Kuna wakati nahisi kama nambaka maana naomba omba kila wakati alafu mwenzangu hana muitikio. Hapa naandika uzi huu amejilaza mwenyewe hana habari wakati tangu jumapili niliomba mchezo akanambia yupo kwenye siku zake hadi leo hata hashtuki kwamba naweza kupata tamaa ya kuchepuka.
Najiuliza ndivyo alivyoumbwa, anachepuka, ana jini mahaba au anajichua? Maana kuna siku nilimuona kama anaweweseka kitandani niliponyanyuka akashtuka sana.
Naomba maoni yenu kiutuuzima bila kejeli tafadhali.
Hoja zako zinahukumu mno.Iko hiviii, wewe sio wa kwanza kutembea nae, yaani yeye anayo gold standard ya sex, kupendwa, na kuthaminiwa ambayo wewe huna, hujamfikisha. Hiyo ni kwanza, pili inawezekana wakati wa ujauzito amepimwa akakutwa na ugonjwa Fulani wa kuambukizwa, tatu anakuhisi unatembea na wengine au amegundua unamdanganya au ulimdanganya
😂😂😂😂😂 mkuu hamna watu wajinga kama hao mademu wetu wakishaolewa na kuzaa. Hakuna cha kukosa matunzo wala nini wanakula wanashiba vyema tu.Bro. Kula kiapo na hisia za mwili ni vitu viwili tofauti.
Mimi mwanaume ikiwa kuna vitu ambavyo vitajitokeza kati yetu na msababishi akawa mwanamke huwa napoteza hisia juu yake.
Mlets uzi hajaeleza mapungufu yake.
Huenda;
- demu hana matunzo amekakamaa kama mkimbizi wa Sudani..nyege zitoke wapi?
- huenda anavaa nguo marinda kama washirika wa kanisa la uwata...hili nalo.
- huenda aligundua mume ni kicheche hivyo hisia zake pia zitspote kwa mmewe