Mwenza wangu hapendi tendo la ndoa

Mwenza wangu hapendi tendo la ndoa

1)Humpi hela binafsi mwanaume ambaye hanipi hela hata siezi mchangamkia namuona kama bro tu

2) Humbembelezii, humsifiii ,humdekezi
3) Ana miez saba uupo home tu humpi ruhusa akasafishe macho au humtembezi tembezi

Kama upo hivi jirekebishe bro
 
Kumbe mpaka uombe,unamgusa tu kuonyesha ishara kuwa sasa ni wakati wa vita,akikaa sawa unafanya shambulizi,we vipi bhana.Wenzio ukikataliwa huo usiku hakuna kulala,ukimuona anasinzia tu unamtikisa,akishaona sasa imefika saa 8 na hujakata tamaa lazima achaguwe kati ya mawili,aendelee kutikiswa mpaka kukuche au akupe haki yako...
😀 😀 😀 😀 😀Daaa wew ndo kibokoo... Mwanamke ndani ya ndoa akishaanza kutumia uchi kama silahaa ya kukucontrol na kukufanya ufanye anayoyataka umekwishaaa...
 
Wanawake hatuna asili ya kuanza kutaka kufanywa.

Asili yetu ni kubembelezwa, kushikwa kuambiwa maneno mazuri tunaishia kuliwa.
Watu wengi wameongea mengi lakini kama mwanamke chukua hili pia wanaume na mwanamke Mungu ametuumba tofauti sana nasema sana.

Hivyo mwanamke kuomba omba mchezo inahitaji ujasiri pia mwanamke akishazaa vitu vingi vinabadilika sana wachache waliojalia hawaangukii hapa kwenye mabadiliko ya kimaumbile ile hamu inakata ongezea na njia za uzazi wa mpango ndo kabisa.

Msiwahukumu wanawake jamani naongea ninachokijua,bahati mbaya uwe mme mwenye gubu muda wote kulalamika tu ndo kabisa hisia hakuna kabisa.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Kiufupi hana mapenz nawe moyoni kabisa,kwenye ndoa aliingia tu asifike kaolewa
 
Wanawake wakiolewa huwa wana tabia ya kuridhika na kuacha kutimiza mambo muhimu kama hayo.

Pili wanawake huwa wanakosa hisia ikiwa huwatimizii mahitaji yao..je hili likoje?.

Tatu ikiwa umeyumba kiuchumi pia huwa wanatabia kama hiyo...muda mwingi wanawaza na kuwa na stress.

Jambo muhimu..hebu jaribu kumtoa out, hakikisha anakula chochote na kunywa chochote akitakacho, uone mkirudi nyumbani kama atakunyima.
Mara nyingine wanaume tuwe wabunifu kwa hawa viumbe...miili yao husinyaa kwa vitu vidogo lkn pia huchangamka kwa vitu vidogo vya ubunifu.

ikishindikana👇👇👇

Kaa naye mweleze unavyojisikia...na umuonye kuwa tabia hiyo ikiendelea itakulazimu utafute. mwanamke mwingine.

Evelyn Salt TIA NENO HAPA PIA
Point ya kwanza nakutana na hoja za msingi sana, asante sana mkuu.
Kwenye kumridhisha sina shida labda niongeze mbinu za kumfikisha maana nguvu za kiume si tatizo kwangu.

Kuna jambo pia hapa umenifumbua, ukweli sasaivi nimeyumba kidogo kiuchumi. Nilikuwa na tabia ya kumpa kiasi cha pesa kila mwezi kwa matumizi yake binafsi lakini kwa sasa nimepunguza kiwango na kuna mwezi unapita bila bila na hili la kumtoa out naona ni muhimu pia nitalifanyia kazi asipobadilika nafata hatua ya mwisho NATAFUTA
 
Jifunze mbinu thabiti za kumkojolesha huyo mke wako,
Mwanamke ukimchakata vyema ukamfikisha kileleni kamwe hawezi vunga linapokuja swala la kunyanduana, tena wao ndio huwa wanahitaji mara kwa mara

Kingine mhudumie vizuri mkeo(fweza=matunzo)
Sawa mkuu, well noted 😛
 
Alikuwa anaweweseka kivipi?
Alikuwa amelala chali (cha mende) kakunja miguu na kuitanua kajifunika lakini hakuwa na utulivu, niliponyanyuka kuangalia vizuri aliwahi kushtuka. Niliwaza aidha ni wachawi wanakula mzigo au jini mahaba lakini kitendo cha kushtuka kwake haraka kilinifanya niamini labda pia alikuwa anajichua
 
Umeandika jambo la msingi sana japo wengine wanaleta mizaha,lkn kwa wengi tulio ktk ndoa hili ni la kawaida sana...nadhani pia kwa kiasi kikubwa limechangia wanaume wengi kuchepuka japo si wote

Wanawake kabla hajaolewa hutamani sana ndoa na kipindi hicho hutamani sana mara kwa mara mpate chance mjiibe yaani mkiwa wachumba

Mkishaoana shida inakujaga kuanza akisha zaa moto baasi uvivu huanzia hapo,akiongeza wapili,watatu baasi kitandani ni mwendo wa kukimbiana na sababu nyingi za nimechoka,kesho nawahi kuamka nk...wakubwa wanasema mapenzi huamia kwa watoto

Hapa kimi ndipo nilipokuja gundua kwanini baadhi ya imani mwanaume huruhusiwa kuoa hadi wanne.

Ina maana toka enzi za mitume shida hii ilikuwepo...wakaona isiwe taabu,maana enzi hizo ukchepuka unauliwa....ikawa dawa ni kuongeza jiko...which is right lkn sikushauri ufanye hivyo.

Tuishi nao tu ndg tulee watoto...
Wanaokejeli hawajui mambo ya ndoa ndomana nilisisitiza maoni ya kiutuuzima na hekima, asante sana mkuu hii shida ni kubwa sana kwenye ndoa
 
Back
Top Bottom