Thanks for giving
Senior Member
- Jun 1, 2015
- 137
- 23
Kiafya hakuna madhara yeyote ila kisaikolojia kuna madhara makubwa.
-Utakuwa haupo makini kiutendaji wa shughuli zako,
-Utakuwa unahamu mno/kupoteza hamu
-Kuwa mtu wa hasira nyumbani, ofini au popote
-Kupoteza kumbukumbu haraka. Unaambiwa kitu ndani ya dk5 umesahau
-Kujiona mpweke/una hadhi kuliko wenzako kwa maana y kuwa na maringo.
Ni hayo tu. Ila kiafya haina madhara.
Ha ha haaa aaaah!, pia kuwa na kiherehere, kujipendejeza ovyo, kufanya mambo ya kitoto
mmmh usijali mi hadi nshasahau, mwaka wa 4 sasa nanshazoea usijali tulizana tu
mmmh usijali mi hadi nshasahau, mwaka wa 4 sasa nanshazoea usijali tulizana tu
miaka miwili tu?
Mimi nina miaka 10! tangu nije mjane na sina tatizo lolote
Kama hamjamiminika pm ntajua kweli nyie kaka zangu mazezeta walah
U ar absolutely correct!! Hiyo ya tatu na mwisho vinanihusu japo ni me ila kuongezea tu... Kupenda kutazama video au pic za utupu.. Pia kusoma hadith za malove davi.
Mmmh hiyo ya kujiona sijui maringo sidhani kama ina ukweli ktk hilo.