Nimekuwa mjane for more than 7 years na sijatenda. Sioni ttz ila kuna saa unatamani c siri
Hakuna tatizo lolote, tena utazidi kupendeza na kufocus kwenye vitu vinavyokuletea maendeleo.
Kiafya hakuna madhara yeyote ila kisaikolojia kuna madhara makubwa.
-Utakuwa haupo makini kiutendaji wa shughuli zako,
-Utakuwa unahamu mno/kupoteza hamu
-Kuwa mtu wa hasira nyumbani, ofini au popote
-Kupoteza kumbukumbu haraka. Unaambiwa kitu ndani ya dk5 umesahau
-Kujiona mpweke/una hadhi kuliko wenzako kwa maana y kuwa na maringo.
Ni hayo tu. Ila kiafya haina madhara.
''Mwenzenu na miaka miwili zijakutana kimwili jekuna adhari zozote zinaweza tokea''Msaada
Kuna madhara ndio. Kati ya hayo yameshaanza kujionyesha katika 'typing' yako. Hayo makosa uliyofanya yametokana na ukosefu wa vitamin C, calcium, chlorine, citric acid, fructose, magnesium, nitrogen, phosphorus, potassium, sodium, lactic acid, B-12. Hayo 'madini' yote yanapatikana kwenye....damn i wish i had a font for showing when i'm being stupid.
Msaada
Msaada
hahaha haya my dada. basi nimeghaili kumsaidia huyo muhitaji, coz I always listen to u.
Hivi hata kuandika kiswahili kilichoonyoka kwenye tatizo lako inakuwa shida tukusaidieje? Nikuitie mwalimu Evelyn Salt?
hahaha haya my dada. basi nimeghaili kumsaidia huyo muhitaji, coz I always listen to u.
majina mengine matamu matamu huwa namuitia chumbani. teh teh