Nimekuwa mjane for more than 7 years na sijatenda. Sioni ttz ila kuna saa unatamani c siri
Msaada
Msaada
jukwaa limekua la matangazo mazuri siku Hizi.. Natamani kumuona Missyrose Akiibuka hapa na kunipa makiss ya kutosha...
Hata mimi simuelewi, eti ghafla bin vuu eti anakuita dada, huku alishasema naye yupo kwenye foleni ya kukuvizia.
Nitapata adhari nyingi.teh teh
Nyg kitu kingine bana, si waona kashindwa hata kuandika
Nimekuwekea Zawadi Yako Kule Chumbani tafadhali ukiiona nibeep
Hata mimi simuelewi, eti ghafla bin vuu eti anakuita dada, huku alishasema naye yupo kwenye foleni ya kukuvizia.
Si bure ipo namna. Adhari ya kujitoa kwenye folen ni Kubwa yeye hajui tu
me kwenye foleni bado nimo, na sina mpango wa kutoka. hata kama wanakula watu 10, nami nasubiri zamu yangu nile. Hata tupangwe zamu, sawa tu. Katika hili sina kauli ya kishujaa coz mifuko yangu imetobokaaa, so nakubaliana na hali iloyopo. Na Kulwa ndo alinitisha kabsaa, eti kuwa 'mwenye kisu kikali' ndo atakae kula nyama.
Teh teh. Kisu sio lazima mifuko itune tu,hata ukiwa original pia waweza kula nyama. Haha
Mhhhh we sema wataka kujua kinachoendelea huko
nimekaa miaka miwili sijakutana kimwili na mwenzi wangu.
Swali; je, kuna athari zozote zinaweza kutokea.
Msaada