Mwenzenu na miaka miwili sijakutana kimwili, je kuna athari zozote zinaweza tokea?

Mwenzenu na miaka miwili sijakutana kimwili, je kuna athari zozote zinaweza tokea?

Ohooooo...kitakuwa kimeshaziba....kama sio kudisappear
 
Hamna madhara yoyote. Mungu alipomuumba binadamu hakumuumba kwa ajili ya kufanya ngono tu. Mwili wako ni hekalu la Mungu, unapaswa kumtukuza Mungu katika mwili wako. Hakuna madhara yoyote, hata kama ni lifetime, hakuna biological effects yoyote. Getting married is the best thing, if someone cant control him/her self lakini hakuna madhara yoyote. On the contrary your body becomes much active and stronger, if you dont participate in regular sexual activities. Wala usijali kabisa

Binadamu hataishi kwa ngono tu, bali kwa kila neno litokalo kwa Mungu.

Excellent:And wish we could be teaching our kids and youngsters this. Ulimwengu wa sasa umekuwa wa kingonongono tu . Nyimbo, vikatuni etc . Na vijana wanakuwa braiwashed kuwa hakuna maisha bila ngono. Ni kiungo muhimu lakini biologically hamna any efect , kila kitu kipo controlled na mind ya mhusika.
 
Hiyo kitu mpaka ipigwe msasa maana ukiingia chumvini hapo unaweza kukatika ulimi fasta.
Madhara yapo sana tu na ninalo suluhisho kwako
 
Hahahah!!!....Eti unasema haujakutana na mwenzako kimwili for 2 f**k years duh!!..Huyo mwenzako anatatizo gani au ndio ahadi za(mpaka tufunge ndoa):dizzy: alfu yeye anachepuka..Take care....
 
Hakuna tatizo lolote, tena utazidi kupendeza na kufocus kwenye vitu vinavyokuletea maendeleo.

Ni kweli kabisa, hakuna tatizo lolote. Mie mwenyewe nijionea. Hvyo Nakuunga Mkono.
Tendo la Ndoa ni tendo linalo hitaji heshima na lina taratibu zake.
Wanaokwenda hovyo hata afya zao utaziona na maendeleo kwao ni ndoto.
Sanasana utajivunjia heshma mitaan na kwa watu wakaribu yako kwa wanao kufahumu. Haijalishi Mzee/Kijana
Jitambue na Jiheshimu ndo kitu kikubwa ktk Maisha yako.
 
Hamna madhara yoyote. Mungu alipomuumba binadamu hakumuumba kwa ajili ya kufanya ngono tu. Mwili wako ni hekalu la Mungu, unapaswa kumtukuza Mungu katika mwili wako. Hakuna madhara yoyote, hata kama ni lifetime, hakuna biological effects yoyote. Getting married is the best thing, if someone cant control him/her self lakini hakuna madhara yoyote. On the contrary your body becomes much active and stronger, if you dont participate in regular sexual activities. Wala usijali kabisa

Binadamu hataishi kwa ngono tu, bali kwa kila neno litokalo kwa Mungu.

Mungu akubariki ni Neno Jema. Mwenye sikio na asikiye
 
Nimefurahi sana mwenyezi MUNGU awabariki wote mlo shauri positively
 
Back
Top Bottom