Mwenzenu nimeachwa kweli!

Mwenyewe natamani iwe kweli, Ila tatizo kashaanza kunibembeleza anasema hajamaanisha....hajaniacha.
Ndo Naomba ushauri jamani hiyo si ni red card kabisa? Mwenyewe nataka kusepa mazima, kanichosha
Naamini Kama hii ndio aina ya wanawake zetu Basi wanaokataa kuoa wapo sahihi....mke was aina hii kuchapiwa Ni rahisi kuliko punda kumpanda mbuzi
 
Watu wametikiswa na Tozo nawe unaleta ujinga?
Imipita hiyoo
 
Mbona kulejuu km umechanganyoikiwa balaa...jisome tena
Wala sijachanganyikiwa, mi Niko tayari, tatizo nawaza yakifika Kwa wazazi, always tunaonekana wanawake ndio tuna makosa....Kwa Hali ilivyo watamtetea na hivo kashaanza kulia lia.....hapa tayari amenikana anadai hajamaanisha, halafu Mimi ni mtu ambaye siwezi Ku argue, atanishinda!
 
Basi una wazazi wa ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…