Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Hawa nao vipi tena!
Hawa nao vipi tena!
LilithKwani mnazungumzia nini jamani mbona mmeniacha
Bro nilideki hadi bati la nyumba yao ila nikapigwa chinisiwezi bro naogeshwa kwa maziwa na kukandwa kwa samli ni ngumu kujinasua 😎
Hebu njooo hapa kona ya misasi tubonge kwanzaMapenzi yafutwe jamani tufanye mambo mengine.....muda wenyewe hautoshi
Tubonge na ka walwa kidogoHebu njooo hapa kona ya misasi tubonge kwanza
Eeeeeeh na kipindi hiki cha kiangazi tule mboga za nsasa za kuwekea ntwili za karanga🙌🙌🙌🫶Tubonge na ka walwa kidogo
I miss home sweet home.....Eeeeeeh na kipindi hiki cha kiangazi tule mboga za nsasa za kuwekea ntwili za karanga🙌🙌🙌🫶
🤣🤣🤣🤣 unaweza jing'ata yaani sio kwa utamu huuI miss home sweet home.....
Daah nsasa, ugali wa udaga....aseeee
Kuna chimbo moja nlikua nakunywa supu imewekewa na karanga......😂😂😂🤣🤣🤣🤣 inaweza jing'ata yaani sio kwa utamu huu
Sio Nyashimo kweli wilaya Busega kama unaenda Lamadi supu asubuhi na ugali mwekundu 😂😂😂😂Kuna chimbo moja nlikua nakunywa supu imewekewa na karanga......😂😂😂
Kama hutokei kanda ya ziwa huwezi kuelewa kabisa hii ni kitu gani. Daaaah hebu nipate kalikizo mie nije home
Hamna hii niliila mitaa flani geita supu ya mbuzi ina karanga, Kuna siku pia home shemegi akapika mchemsho akaweka karanga aseee balaaa.....Sio Nyashimo kweli wilaya Busega kama unaenda Lamadi supu asubuhi na ugali mwekundu 😂😂😂😂
Wewe unalipika kwenye sufuria na moto wa oven wapi na wapiHamna hii niliila mitaa flani geita supu ya mbuzi ina karanga, Kuna siku pia home shemegi akapika mchemsho akaweka karanga aseee balaaa.....
Cha ajabu hili pishi ukilipika daslamu Wala halinoni kabisa sijui shida inakua wapi
Dar Nenda Sinza Karibu na makaburini, hoteli inaitwa take away, wanapika vyakula vya asili. Udaga, ugali wa ulezi, ugali wa Mtama etc. Mboga kuna msusa na Karanga, etc mmiliki wa hotel hiyo ni MringoKuna chimbo moja nlikua nakunywa supu imewekewa na karanga......😂😂😂
Kama hutokei kanda ya ziwa huwezi kuelewa kabisa hii ni kitu gani. Daaaah hebu nipate kalikizo mie nije home
Kesho kutwa naenda hapo sio mbali na magorofa marefuDar Nenda Sinza Karibu na makaburini, hoteli inaitwa take away, wanapika vyakula vya asili. Udaga, ugali wa ulezi, ugali wa Mtama etc. Mboga kuna msusa na Karanga, etc mmiliki wa hotel hiyo ni Mringo