Mwezi huu nimekataliwa na warembo 4 kwa sababu ya kuwa na nywele nyekundu



Kwamba hao warembo 4 ndani wa mwezi ungewafanyia nn?
 
Mkuu I mean napata shida mno kushawishi katika hatua zile za kufahamiana... huwa sipendi nionekane ninazo.

Hakuna anayetaka kujua unazo ila kipimo cha mwanaume ni kujimudu na kumudu mahitaji yake yule anayetaka kufahamiana nae

Sio kwa ubaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…