johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
We mama una vijimaneno sanaLissu amepwaya mara tu baada ya kuingia madarakani
Amepwaya? 🐼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mama una vijimaneno sanaLissu amepwaya mara tu baada ya kuingia madarakani
Mbowe anahusikaje hapo sasa?? Kwani wanachama wengine kama Mchome hawana akili na haki ya kuhoji?Inasikitisha sana kuwa Mbowe anafuata njia ya Profesa Lipumba ya kukiua chama alichoshiriki kukijenge kwa jasho na damu. Hii barua ingeishia tu kwa Katibu Mkuu wa Chadema tungeweza kusema ilikuwa na ni njema ya kutaka kurekebishana lakini kwa kumshirikisha Msajili wa vyama ambaye ameoneka siku zote kuwa ni adui namba moja wa vyama vya upinzani ni dhahir shahir kuwa nia ya barua hiyo ni kuibomoa Chadema na pia ni dhahir kuna mkono wa TISS katika sakata hili.
Kauli ya No Reforms No Election haikuasisiwa na Lissu, ni Mbowe ndiye muasisi na ikapitishwa na Baraza kuu na hatimaye na Mkutano Mkuu wa Chama, hivyo hiyo si kauli ya Lissu bali ni kauli na msimamo wa Chama.Mbowe anahusikaje hapo sasa?? Kwani wanachama wengine kama Mchome hawana akili na haki ya kuhoji?
Hivi Tundu Lissu anaposema "No Reforms, No Elections", bado hamjatambua kuwa yeye ndiye adui namba 1 wa CHADEMA?
Hakika CHADEMA mumeingia choo cha kike, na hamtoki kwenye hicho choo hadi mgawane matofali na mbao
View attachment 3243725
Baada ya kushindwa uchaguzi Freeman Mbowe hajaongea lolote. Akina Lissu na timu yake walitumia nguvu nyingi kumbomoa ili washinde uchaguzi kwa hila. Kumbe walikuwa hawana mkakati wa kukiongoza chama. Sasa wanakanyagana kumtukana Mwenyekiti mstaafu.
View: https://x.com/RehemaNM2/status/1892372722044354860?t=zfgUxlMMl_74CNtBaswz-w&s=19
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hata kama kauli ni ya Mbowe na mkutano mkuu ukai broadcast, lakini tambua hatukuijua kauli hiyo kabla ya Tundu Lissu hajaiongelea kwenye mkutano wake wa kwanza rasmi na wanahabari.Kauli ya No Reforms No Election haikuasisiwa na Lissu, ni Mbowe ndiye muasisi na ikapitishwa na Baraza kuu na hatimaye na Mkutano Mkuu wa Chama, hivyo hiyo si kauli ya Lissu bali ni kauli na msimamo wa Chama.
Wewe mwenye akili kuliko mtoa mada mbona hujajibu hoja?? Acha woga na matusiNilikuwa nakuona una akili kumbe huna tofauti na Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa. Sasa kushinda kwa hila kivp wakatu uchaguzi ulikuwa live kabisa
Shauri ya mpunga toka kwa mama Abdul 🤪🤪Mze anavivuli vingi sanaa yaani ✌️✌️
Kabisa aise hao watu ni Toxic kabisaHuyu mzee na yule Mrema ni wakufukuza kwenye chama kabisa
Yaweza kuwa nimeandika matusi bila mimi kujua nikidhani niko sawa. Naomba ndugu uniambie wapi au neno gani ni tusi ili nisije rudia tena hili jamboWewe mwenye akili kuliko mtoa mada mbona hujajibu hoja?? Acha woga na matusi
Utasubiri sana na roho yako ya kichawiMbowe anahusikaje hapo sasa?? Kwani wanachama wengine kama Mchome hawana akili na haki ya kuhoji?
Hivi Tundu Lissu anaposema "No Reforms, No Elections", bado hamjatambua kuwa yeye ndiye adui namba 1 wa CHADEMA?
Hakika CHADEMA mumeingia choo cha kike, na hamtoki kwenye hicho choo hadi mgawane matofali na mbao
Mbowe aendelee kupiga kimya hivyo hivyo adeal na biashara zake ,wakishindwa kukiendesha wasione aibu kumvutia waya mwamba aokoe jahazi.... 😀 😀 😀Wacha tuone mwisho itakuaje?
Lissu anasimamia azimio la Mkutano mkuu. Hili nalo ni gumu kuelewa?Hata kama kauli ni ya Mbowe na mkutano mkuu ukai broadcast, lakini tambua hatukuijua kauli hiyo kabla ya Tundu Lissu hajaiongelea kwenye mkutano wake wa kwanza rasmi na wanahabari.
Kwani yeye hana akili zake kama Mwenyekiti kuanza na kauli yake mpya isiyo na utata?? Mchawi wa CHADEMA ni Tundu Lissu tu
Amendika Rehema kweli, kafungue ile twitter account ambayo nimeambatisha pale kwenye post #1Hii kaandika kweli Rehema? Mbona anakuwa kama Msigwa? Uchaguzi wameshinda. Wajikite katika kukijenga chama chao waachane na Mbowe. Wajibu tuhuma zilizomo wasonge mbele. Sio kila mtu anaye kuhoji ni adui yako. Kama ni yeye kweli, huku ndio kuponya majeraha ya uchaguzi? Kwanza kumsingizia Aidan halafu sasa Mbowe. Adui yenu mnamjua na sio Mbowe.
Amandla...
Njoo na hoja siyo kauli za kejeli. Kwenye kejeli hata mpumbavu anawezaNilikuwa nakuona una akili kumbe huna tofauti na Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa. Sasa kushinda kwa hila kivp wakati uchaguzi ulikuwa live kabisa
Wameanza kukwama na kushindwa kuendelea kujenga Chama. Sasa wanatafuta scapegoat na kama kawaida baada ya kumtukana na kumdhalilisha Mwamba Mbowe wanashindwa kuwajibika.Walidhani kuongoza Chama ni kelele za mitandaoni na ngebe za kujipatia umaarufu.Reality has checked in. Deal with it.Jipangeni, mlijua siasa ni maneno maneno eeh ?
Mfukuzeni Chadema kama kuna mtu mwenye ubavu wa kufanya hivyo.Mbowe ni kirusi ndani ya siasa za upinzani