PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Hezbollah walikuwa wakitumia simu kwa mawasiliano yao. Hassan Nasrallah akawaonya Hezbollah kutotumia simu kwani kuna ueezakano simu hizo zikawa compromised na Israel.
Baada ya onyo hilo ndiyo wakahamia kwenye pagers (hutumika kwa text tu) na walkie-talkie (hii ni two ways radio hutumika kuongea na mtu ambaye mpo kwenye same range na kwa kutumia specific frequencies).
Inaonekana Hassa Nasrallah alipenyeziwa intelijensia hiyo kimkakati ili awahamisha Hezbollah kutoka kutumia simu ili waingie kwenye mtego uliotegwa.
A salaam Aleyküm!