Mwezi mmoja wa Ndoa Sasa Tangu niolewe na mwanaume ambaye nilimpata kupitia JF

Hongera,nadhani mrejesho utawapa nguvu ambao wanatafuta na wanaona aibu kujitangaza.Wanaume wapo wengi ila waowaji ni wachache
 
Hongera kwa ndoa, ila tambua maisha ya ndoani ni tofauti na maisha ya mahusiano, kwa sasa unapaswa jifunga kibwebwe maana ndoa si lele mama.
 
Hongereni sana. mkajaaliwe watoto wengi.
 
Nje ya mada

Mkuu ulifanikiwa kumshawishi pacha ako aondoke nyumbani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…