babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Si ukatulie umlee mumeo sasa ,uko hapa na wakulungwa mnabishana, lea ndoa yako mama kesho kuna tatizo rudi hapa mrejesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mtu ukimweleza ukweli atasema unamtisha,huo ndio ukweli wenyewe ndoa si lelemama,Naona watu badala ya kutoa pongezi wanatoa vitisho...nchi ngumu hii
Hata yeye anajua ni mtu mzima huyo eti...na maneno hayo ameshaambiwa sana huko kwao kwa hiyo hata mkiyarudia ninyi hayana maana yoyote nyie mpongezeni tu atakayokutana nayo huko ni ya kwake ninyi hayawahusu na pengine hata hamtoyajuaNa mtu ukimweleza ukweli atasema unamtisha,huo ndio ukweli wenyewe ndoa si lelemama,
Ukitoa thread usipangie watu cha kusema,Hata yeye anajua ni mtu mzima huyo eti...na maneno hayo ameshaambiwa sana huko kwao kwa hiyo hata mkiyarudia ninyi hayana maana yoyote nyie mpongezeni tu atakayokutana nayo huko ni ya kwake ninyi hayawahusu na pengine hata hamtoyajua