Mwezi mmoja wa Ndoa Sasa Tangu niolewe na mwanaume ambaye nilimpata kupitia JF

Mwezi mmoja wa Ndoa Sasa Tangu niolewe na mwanaume ambaye nilimpata kupitia JF

September 28 ,2019 nikiwa nimekosa uelekeo wa maisha ya kimahusiano nilikuja hapa jukwaani ,Nikasema natafuta Mume ,kiukweli uhitaji nilikiwa nao lakini sikuwa naamini kama huku nitapata mtu,pili niliogopa ningeonekana kuhuni au kutoaminika so ilikuwa kama njia TU ya kujiondolea stress walikuja watu wengi sana Pm Kwa sababu sikuweka vigezo hivyo sikuweza kumjibu yeyote.Niliamuwa kupost tena na kuchanganua nini nataka ,wapo
Nasiche Dada,
Kwanza nakupa pongezi kwa kupata mume mwema wako.
Pili nakipongeza kwa ujasiri mpaka umefikia hapo ulipofika na mumeo. Na tatu, napenda kukushauri ili muwe na amani na furaha siku zote za maisha yenu, " muwe na lugha moja daima na uaminifu kwa hata kile kinachooneka ni kidogo .
Mwisho,, Mheshimu na mfanye kuwa rafiki wako wa karibu .

MUNGU aliye Hai awatangulie kwenye maisha yenu, mfanikiwe kila kona , muwe na familia bora yenye kumpenda MUNGU daima.

Nawafunika kwa damu ya YESU.
 
Yanaanzaga Mapenzi yanakuja mahusiano zinafuata vurugu[emoji23]

kila la heri wanajf
Hii comments hatakaa aipende wala ku iquote, sababu imesheheni reality (uhakika).
Anachotaka ni hongera, hongera, hongera - wanawake wanapendaga sana hako kaneno "HONGERA" hasa wanapopata new thing kwenye maisha.

Binafasi nakupa hongera japo sio kitu special kiviile hadi uanzishe uzi, maana najua insta ushajitundika tena toka siku unavishwa pete, facebook ulishajaza picha (just kuwarusha roho wenzio waliosema mbona haolewi[emoji1][emoji1][emoji3], i think mkiwa pale high table huwa mnawaza sherehe iishe mapema nichukue picha zangu nianze kupost hilo huwa tamanio lenu kuu), sasa baada ya kumaliza huko ukakumbuka JF bado ila sasa humu picha zimekuwa ngumu maana tunaishi JF kama wakimbizi with fake ID's
 
Ana weeks anaanza kutupigia kelele; Mimi mpaka ndoa Ina miaka 10 ilikuwa paradise; sasa hivi nakaangika
Nimefatilia threads zake, nikagundua hakuna kitu bado ni stress zinamsumbua, na itakuwa mafisi wa JF walizama inbobo tifua sana na kuamsha popo, sasa anawarusha roho! Eti nilimpa namba mmoja tu, hahaaa wakikasirika huko walipo wakaanza kuleta evidence idadi ya walio mla muanze kulia oooh anafanyiwa bullying bullying, ilihal huwa hizi issue zinaanzishwaga na wanawake wenyewe eidha privately au publicaly kama hivi
 
Hata mimi nimeona kabisa bado anajifariji ndio mana baadhi ya koment za kuhoji hajibu anajibu tu za hongera
Nimefatilia threads zake, nikagundua hakuna kitu bado ni stress zinamsumbua, na itakuwa mafisi wa JF walizama inbobo tifua sana na kuamsha popo, sasa anawarusha roho! Eti nilimpa namba mmoja tu, hahaaa wakikasirika huko walipo wakaanza kuleta evidence idadi ya walio mla muanze kulia oooh anafanyiwa bullying bullying, ilihal huwa hizi issue zinaanzishwaga na wanawake wenyewe eidha privately au publicaly kama hivi
 
Mtaachana tu.

Juzi kuna jamaa kapost uzi kuwa amegundua kuwa alikosea kuoa baada ya miaka 15 kupita.
 
Hongera sana Mamii. Ndoa yenu ikawe ya kheri mkapate uzao mwema.

Kupitia mrejesho wako umetupa moyo, wanaume wazuri bado wapo[emoji5]
 
Ulipata mwenye hifu ya Mungu lakini miaka yote mlikua mnazini na ndoa imefungwa huu. Kweli dunia tambara bovu.
 
Back
Top Bottom