Mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi

Mamlaka ya uteuzi, nadhani inalifanyia kazi,huenda atawahi vikao vya bunge vinavyoanza wiki hii huko Dodoms ili ajibu maswali yatakayo elekezwa kwenye wizara ya Ulinzi.
 
Je, nchi inaendaje? Kwa sasa maana ni mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi tangu Kwandikwa Atutoke.
Wataalamu wa mambo mnaweza shea chochote kwenye hili.
Amiri jeshi mkuu yupo na anatosha sana!! Of course kaimu lazima atakuwepo (second in command)!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…