Mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi

Mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi

Je, nchi inaendaje? Kwa sasa maana ni mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi tangu Kwandikwa Atutoke.
Wataalamu wa mambo mnaweza shea chochote kwenye hili.
Dr Mabeyo anatosha, waziri raia ni mzigo tu kwa walipa kodi.
 
Mamlaka ya uteuzi, nadhani inalifanyia kazi,huenda atawahi vikao vya bunge vinavyoanza wiki hii huko Dodoms ili ajibu maswali yatakayo elekezwa kwenye wizara ya Ulinzi.
Asante Mkuu kwa taarifa
 
Asingekuepo katibu wa wizara ingekua bonge la ishu kuliko hata waziri. Waziri ni ceremonial figure atahudhuria vikao, atawasilisha maamuzi n.k.

Lakini utendaji kazi hua ni kwa walio chini yake kuanzia NW na Katibu wa Wizara. Ndiyo maana marehemu magufuli aliwahi ongoza nchi kwa zaidi ya miezi 3 bila mawaziri katika wizara tatu.
 
Shit like this ndio chanzo cha mkwamo wetu kama Taifa!

Pips like you need to be exterminated kimya kimya ! Nyinyi ndio chanzo cha mkwamo !!!
FUA(....)
Ukimya unatengeneza minong'ono.
Nafasi hiyo ipo kikatiba hivyo wananchi kuhoji in haki yetu.
Ila kwakuwa mmejimilikisha mnaamua mnavyotaka,hata kuua

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Asingekuepo katibu wa wizara ingekua bonge la ishu kuliko hata waziri. Waziri ni ceremonial figure atahudhuria vikao, atawasilisha maamuzi n.k.

Lakini utendaji kazi hua ni kwa walio chini yake kuanzia NW na Katibu wa Wizara. Ndiyo maana marehemu magufuli aliwahi ongoza nchi kwa zaidi ya miezi 3 bila mawaziri katika wizara tatu.
Reference yako imeharibu hoja yako
 
Ndiye Waziri asiye na Wizara maalum na ndiye anatekaimu nafasi ya Waziri wa Ulinzi kwa sasa.

Ni suala la muda tu naye atathibitishwa kuwa Waziri wa hiyo Wizara ya Ulinzi.

Mungu ibariki Tanzania!
 
Yote kheri,halafu ni mkomavu na amepevuka,panamfaa,kama unapima upepo sawa tu
 
Yote sawa, ila muhimu tu miaka yake minne ikiisha tunamuomba awaachie wengine maana amesha andika historia ya kuwa rais wa kwanza ya jinsia KE kuiongoza Tanzania, asije kuwa tu na tamaa ya kugombea tena 2025.
 
Back
Top Bottom