Mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi

Kwani nchi inaendeshwa na waziri wa ulinzi?
 
Umepungukiwa nini? Mbona Chadema wana miezi hawana Mwenyekiti wa Chama wala Makamu Mwenyekiti na hujalalamika?
Hahahah Basi sina la kusema maana kipindi nipo lupango ndipo waziri alipatikana.
Kwahiyo acha kazi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…