Mzee wa Kisarawe II
Member
- Jul 12, 2024
- 13
- 18
Nakumbuka ni 29/04/2024 Siku ambayo wana Kigamboni tulikaa barabarani kumsikiliza Waziri wa ujenzi kwa wakati huo Innocent Bashungwa akitueleza namna serikali imeridhia kuwekwa rami kwa barabara hii ya kibada Mwasonga.
Tunasikitika kuwa sasa tunakaribia mwaka toka ahadi hiyo hakuna jipya zaidi ya kukwanguliwa kwa barabara tu.
Hakuna kitu kinaumiza wananchi kama kuwafanyia hadaa kwa ahadi za uwongo maana tunajua kabisaa uchaguzi ukikaribia mtakuja na magreda kuchonga ili mtudanganye kuwa ujenzi unakaribia.
Swali letu kwa serikali kuna kosa wana Kigamboni tumewakosea??