Mzee wa Kisarawe II
Member
- Jul 12, 2024
- 13
- 18
mbona mkandarasi yuko site anaendelea na kazi?Nakumbuka ni 29/04/2024 Siku ambayo wana Kigamboni tulikaa barabarani kumsikiliza Waziri wa ujenzi kwa wakati huo Innocent Bashungwa akitueleza namna serikali imeridhia kuwekwa rami kwa barabara hii ya kibada Mwasonga.
Tunasikitika kuwa sasa tunakaribia mwaka toka ahadi hiyo hakuna jipya zaidi ya kukwanguliwa kwa barabara tu.
Hakuna kitu kinaumiza wananchi kama kuwafanyia hadaa kwa ahadi za uwongo maana tunajua kabisaa uchaguzi ukikaribia mtakuja na magreda kuchonga ili mtudanganye kuwa ujenzi unakaribia.
View attachment 3286205
Swali letu kwa serikali kuna kosa wana Kigamboni tumewakosea??
Wapi hiyo ni barabara imechongwa hapo ni tarehe 29/04/2024 ni mwaka sasa toka wachonge na kuiacha kama ilivyoHiyo kulia hapo zege au?
Hebu tuambie ni kazi gani inaendelea tofauti na kuchonga barabara toka mwaka jana mwezi wa nne mpaka sasaMbona kazi inaendelea au upo maeneo gani?
Kampuni ,ya wachina inayojenga hospitali ya mbagala ndio hiyohiyo inakuja kujenga hapo. Na mbona nilisikia mwanzoni mwa mwaka huu wameanzaWapi hiyo ni barabara imechongwa hapo ni tarehe 29/04/2024 ni mwaka sasa toka wachonge na kuiacha kama ilivyo
Kwani huko mnazalusha kipi cha kuliingizia pato taifa?Nakumbuka ni 29/04/2024 Siku ambayo wana Kigamboni tulikaa barabarani kumsikiliza Waziri wa ujenzi kwa wakati huo Innocent Bashungwa akitueleza namna serikali imeridhia kuwekwa rami kwa barabara hii ya kibada Mwasonga.
Tunasikitika kuwa sasa tunakaribia mwaka toka ahadi hiyo hakuna jipya zaidi ya kukwanguliwa kwa barabara tu.
Hakuna kitu kinaumiza wananchi kama kuwafanyia hadaa kwa ahadi za uwongo maana tunajua kabisaa uchaguzi ukikaribia mtakuja na magreda kuchonga ili mtudanganye kuwa ujenzi unakaribia.
View attachment 3286205
Swali letu kwa serikali kuna kosa wana Kigamboni tumewakosea??
Kuna madaraja yanajengwa...au hio lami ulitegemea tu alivyosema basi inashuka toka juu unaikuta hapoHebu tuambie ni kazi gani inaendelea tofauti na kuchonga barabara toka mwaka jana mwezi wa nne mpaka sasa
Kuna madaraja yanajengwa...au hio lami ulitegemea tu alivyosema basi inashuka toka juu unaikuta hapo
Kwani huko mnazalusha kipi cha kuliingizia pato taifa?
Kuna barabara muhimu mno inaenda kwenye gesi na chai ya kutoka katumba hadi Mwakaleli kule Mbeya serikali imekaa kimya miaka nenda rudi sio fair kwa kweli
Nyie mnazalisha nini? Hadi hiyo barabara ipewe umuhimu?